- Thread starter
- #41
ngoja nishuke hapo dizaini fulani week mbili zijazo nahisi nitakuwa nakasafari ka kwenda iringa,,, nadhani nitadrop kufanya exploration kidogo.. Malila
Kaka nenda, miji yote ambayo haina wenyewe ni rahisi sana kufanikiwa, kwa sababu kila mtu kaja kutafuta, huu ni moja ya miji inayokuwa kwa kasi kwa sababu inaundwa na wahamiaji zaidi.