Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,784
- 13,642
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwe unanipa kwanza mimi kule chemba yaani kumbe ndo mbaya kiasi hichoooo[emoji23][emoji23][emoji23] Yani sijui nilikuwa wapi sikuuona huu uzi. Siku nyingine mniite mapema jamani maana siku hizi nina madini ya kutosha.
Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji11]shoga nakugawaaa!!!kumbe ndo maana kapoa siku hiziiiiUjue mimi nilidhani binti atakuja na bonge la project baada ya ile kesi ila kimyaaaaaa! Mwisho anatujea na maronya yake. Mwanzoni alijidai kama anagawa bure baadae akatubadilishia gia angani.
Basi ubuyu wote niupata ile siku ilipozuka skandali ya kupigwa na bwana. Nilipewa ubuyu mzito kwamba bwana anachepuka vibaya mnoooo! Binti anavumilia mengi jamani!
Halafu bwana anamkontroo vibaya mnooo. Hataki binti hata apendeze, yake mashauzi ya zamani kila wiki photoshoot mara 2 hamna tena!
Ndio maana kapauka masikini [emoji24][emoji24]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hata mimi nikadhani ameamua kuwa humble kwa ile kesi iliyomkuta kumbe wapi shoga! Nasikia bwana bahili hatariiiiiiii
Na nasikia anamtisha kwa jinsi alivyomsave na kifungo, hivyo binti inabidi awe mpole.
Ni wazi hana furaha, binti sio yule tunayemjua aliyekuwa na nuru na tabasamu tele.
Mwenzio huku JF ndipo ninapoweza kutoa nyongo ila kule naogopa block. Na huwa anafuatilia kila comment [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huku pia lazima anapitaga.
Karma shoga, karmaaaaa
Yule mke wa Seth aliniuma mnooo! Dada lizuri hatari mume akawa hasikii haoni kwa binti.
Ila alimkomesha kwa kumnyang’anya lile livogi maana tungekoma.
Kwani vile vyuma mdomoni kunani shoga?
Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji23][emoji23][emoji23]naimani ushapona.[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Naamini kuwa ubuyu ni tiba
Ukaribie tu [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23]naimani ushapona.
Naja nyumban nao nao
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiombe uwe tegemezi kwa kila kitu utasafa kwensikwensezii!!!acha kabisaa Dada ana hard time mnooo!!!Hata mimi kichwa kizito nimeelewa. Ila jamani kwa ayyo imenisikitisha.mkaka mtulivu. Mimi nilijua pearl katulia tu baada ya matatizo kumbe anapitia mengi. Inabidi aendelee tu kuvumilia maana asomeshewe mdogo wake alishwe yeye na mama mtu .kuwa tegemezi ni jambo baya sana
[emoji16][emoji16][emoji2][emoji2][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]halafu kweli ujueBinti ana jina kubwa nchi hii, akiamua kusimama mwenyewe anaweza tatizo status mama, status!
Anapenda mambo makubwa ndio inabidi avumilie yote... imagine amtoe dogo Feza leo hii ataweka wapi sura yake mjini?
Mimi yale meno naamini anapigwa kweli, tena kapigwa ngumi nzitonzito haswaaa.
Angekuwa na meno mabaya tungemuelewa lakini sio kwa meno mazuri yale...
Kuna wengine wanasema alidondoka kule jela [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Etiiii?!!!!!Mmh yan ukisikia mambo yao waweza kuogopa hii dunia , walivyo na mambo yao tofauti
Huyu mke wa machache nae sekeseke lake ni hataree , mdomo komaaa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kumbe hamjaachana tu 🙁[emoji23][emoji23][emoji23]naimani ushapona.
Naja nyumban nao nao
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuu.bila shaka Dar huko@Ankoo yuko vizuri sekta hizi[emoji23][emoji23]
Siku hizi ukiona wanaume wanapigana inabidi uhoji chanzo vizuri maana waweza kuta wanagombea mjurubeng
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani kataja majinA hyo
Mmh hili la vyuma mimi pia nilikiwa najiuliza nikajua ndio urembo wa siku hizi maana naona wengi wanavyoHata mimi nikadhani ameamua kuwa humble kwa ile kesi iliyomkuta kumbe wapi shoga! Nasikia bwana bahili hatariiiiiiii
Na nasikia anamtisha kwa jinsi alivyomsave na kifungo, hivyo binti inabidi awe mpole.
Ni wazi hana furaha, binti sio yule tunayemjua aliyekuwa na nuru na tabasamu tele.
Mwenzio huku JF ndipo ninapoweza kutoa nyongo ila kule naogopa block. Na huwa anafuatilia kila comment [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huku pia lazima anapitaga.
Karma shoga, karmaaaaa
Yule mke wa Seth aliniuma mnooo! Dada lizuri hatari mume akawa hasikii haoni kwa binti.
Ila alimkomesha kwa kumnyang’anya lile livogi maana tungekoma.
Kwani vile vyuma mdomoni kunani shoga?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ndo maana tunakosa mvua, tunaingia wa 3 bilabilaHatar kabisa , mji una joto huu
Sent from my iPhone using JamiiForums