Waende tu wakachukue wakikubaliana masharti mbona rahisi....ila the real devil swallow this generation! Haki tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani pesa ni kichaka cha uovu, watu wanamuonea wivu mtoto wa watu kuwa kapata bahati , wangejua mambo mazito anayo kumbana nayo mmh , Yule mtoto ni super woman , anastahili tuzo , waoneni tu watu insta Ila msitamani maisha yao maana viatu vyao vizito
Sent from my iPhone using JamiiForums
Unatolewa au unawatoa?Kuna mchezo umeibuka kkoo, ukitaka fremu pale wale watoto wa kiarabu, wanatoa masharti mawili....huwezi kafe na njaa
Ngoja niishie hapa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kistuli nimesoma nae but mi nilikuwa nakuja tution, hapo perfect school, kwa Kadege 2008!Kaishia form two kwa kadege lakini kasoma mlk diploma ndugu jiulize cheti cha form four kapata wapiiu
Sent using Jamii Forums mobile app
Woyooooo....kulisha marioo mchezo[emoji16][emoji16]Ngoja nkupe umbea kutoka reliable source kabisaa!!!wako wote ila ndani vululuvululu yaani!!
Aunty hamtaki hata kumuona janaume linajing'ang'aniza balaa...wanamchambaaa iyobo vibaya mnoo!!!kwanza kumbe analelewa hana chochote yule mcheza shoo!mpk gari ya mama biskuti!yupo siku yoyote anabwaga rasmi ile kila mtu kivyake
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi nikadhani ameamua kuwa humble kwa ile kesi iliyomkuta kumbe wapi shoga! Nasikia bwana bahili hatariiiiiiii
Na nasikia anamtisha kwa jinsi alivyomsave na kifungo, hivyo binti inabidi awe mpole.
Ni wazi hana furaha, binti sio yule tunayemjua aliyekuwa na nuru na tabasamu tele.
Mwenzio huku JF ndipo ninapoweza kutoa nyongo ila kule naogopa block. Na huwa anafuatilia kila comment [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huku pia lazima anapitaga.
Karma shoga, karmaaaaa
Yule mke wa Seth aliniuma mnooo! Dada lizuri hatari mume akawa hasikii haoni kwa binti.
Ila alimkomesha kwa kumnyang’anya lile livogi maana tungekoma.
Kwani vile vyuma mdomoni kunani shoga?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sehem nyingine Kama zina kuja ivi 'kasturi ndo nani?wakuuKistuli nimesoma nae but mi nilikuwa nakuja tution, hapo perfect school, kwa Kadege 2008!
Hapo shuleni enyewe kaachaaga radhi mamaae!
I know her very very well...
Mi nilikuwa namuuliza huyo numbisa kuhusu mdogo wake kastuli hajamalizaga la saba? Coz mda kweli[emoji134]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh haya kwangu mapya. Shangazi pia katoswa? Maana insta watu kwa kujitia wana mahaba. Kumbe behind close door ni joto tu
Ndo hivyo mama akaondoka kama kapokea simu ya dharura hakurudi tena
Watafunwe tu maana hakuna namna!Hivi unapata raha gani unapomtatua marinda mwanaume mwenzako?? Duh
Sent using Jamii Forums mobile app
Kistuli nimesoma nae but mi nilikuwa nakuja tution, hapo perfect school, kwa Kadege 2008!
Hapo shuleni enyewe kaachaaga radhi mamaae!
I know her very very well...
Mi nilikuwa namuuliza huyo numbisa kuhusu mdogo wake kastuli hajamalizaga la saba? Coz mda kweli[emoji134]
Sent using Jamii Forums mobile app
Balaaa sana kumlisha Marioo ni kipaji kama vingine!!!ndo maana shilole alishindwaa....aunty fighter nakumbuka ilikua inaitwa cream kama sikoseiWoyooooo....kulisha marioo mchezo[emoji16][emoji16]
Inabidi ujifunge kibwebwe kwelikweli[emoji1787][emoji1787]
Sema Shanga mpambanaji balaa, kuna kipindi alikuwa anauza udambwi udambwi komakoma, wala hana habaree...
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo serious ?