Mji mzito huu

Mji mzito huu

Binamu unaanzia mbali mwaga yote bhana tujisosomole maubuyu bhana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yani pesa ni kichaka cha uovu, watu wanamuonea wivu mtoto wa watu kuwa kapata bahati , wangejua mambo mazito anayo kumbana nayo mmh , Yule mtoto ni super woman , anastahili tuzo , waoneni tu watu insta Ila msitamani maisha yao maana viatu vyao vizito

Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaishia form two kwa kadege lakini kasoma mlk diploma ndugu jiulize cheti cha form four kapata wapiiu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kistuli nimesoma nae but mi nilikuwa nakuja tution, hapo perfect school, kwa Kadege 2008!

Hapo shuleni enyewe kaachaaga radhi mamaae!

I know her very very well...

Mi nilikuwa namuuliza huyo numbisa kuhusu mdogo wake kastuli hajamalizaga la saba? Coz mda kweli[emoji134]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja nkupe umbea kutoka reliable source kabisaa!!!wako wote ila ndani vululuvululu yaani!!

Aunty hamtaki hata kumuona janaume linajing'ang'aniza balaa...wanamchambaaa iyobo vibaya mnoo!!!kwanza kumbe analelewa hana chochote yule mcheza shoo!mpk gari ya mama biskuti!yupo siku yoyote anabwaga rasmi ile kila mtu kivyake

Sent using Jamii Forums mobile app
Woyooooo....kulisha marioo mchezo[emoji16][emoji16]

Inabidi ujifunge kibwebwe kwelikweli[emoji1787][emoji1787]

Sema Shanga mpambanaji balaa, kuna kipindi alikuwa anauza udambwi udambwi komakoma, wala hana habaree...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yan nifah unanifanya nisiruke hata comment moja daah mji mzito haswaaa
Hata mimi nikadhani ameamua kuwa humble kwa ile kesi iliyomkuta kumbe wapi shoga! Nasikia bwana bahili hatariiiiiiii

Na nasikia anamtisha kwa jinsi alivyomsave na kifungo, hivyo binti inabidi awe mpole.
Ni wazi hana furaha, binti sio yule tunayemjua aliyekuwa na nuru na tabasamu tele.

Mwenzio huku JF ndipo ninapoweza kutoa nyongo ila kule naogopa block. Na huwa anafuatilia kila comment [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huku pia lazima anapitaga.

Karma shoga, karmaaaaa
Yule mke wa Seth aliniuma mnooo! Dada lizuri hatari mume akawa hasikii haoni kwa binti.
Ila alimkomesha kwa kumnyang’anya lile livogi maana tungekoma.

Kwani vile vyuma mdomoni kunani shoga?

Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kistuli nimesoma nae but mi nilikuwa nakuja tution, hapo perfect school, kwa Kadege 2008!

Hapo shuleni enyewe kaachaaga radhi mamaae!

I know her very very well...

Mi nilikuwa namuuliza huyo numbisa kuhusu mdogo wake kastuli hajamalizaga la saba? Coz mda kweli[emoji134]

Sent using Jamii Forums mobile app
Sehem nyingine Kama zina kuja ivi 'kasturi ndo nani?wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
He he...pale kwa kadege lazima umjue vzr...mdogo wake bado hajamaliza shule!!!!katoto kale sasa hv ndo kakubw kidogo
Kistuli nimesoma nae but mi nilikuwa nakuja tution, hapo perfect school, kwa Kadege 2008!

Hapo shuleni enyewe kaachaaga radhi mamaae!

I know her very very well...

Mi nilikuwa namuuliza huyo numbisa kuhusu mdogo wake kastuli hajamalizaga la saba? Coz mda kweli[emoji134]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Woyooooo....kulisha marioo mchezo[emoji16][emoji16]

Inabidi ujifunge kibwebwe kwelikweli[emoji1787][emoji1787]

Sema Shanga mpambanaji balaa, kuna kipindi alikuwa anauza udambwi udambwi komakoma, wala hana habaree...

Sent using Jamii Forums mobile app
Balaaa sana kumlisha Marioo ni kipaji kama vingine!!!ndo maana shilole alishindwaa....aunty fighter nakumbuka ilikua inaitwa cream kama sikosei

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom