Nasikia alipewa kipigo cha mbwa koko na pete akavua.
Binti ana moyo sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo dogo nilisikiaga eti mzee naniliu ndiye anayemkanyaga!Hata huyu kijana nae ni msegeju....haiwezekani!!
@Ankoo yuko vizuri sekta hizi[emoji23][emoji23]
Siku hizi ukiona wanaume wanapigana inabidi uhoji chanzo vizuri maana waweza kuta wanagombea mjurubeng
Sent using Jamii Forums mobile app
Hela yako tu.Aisee aisee! nimesikitika sana ....ni ngumu kuiweka akilini ....kwamba huyu kijana nae ni wa michezo hiyo....
Hii ni kashfa kama kashfa nyingine. Haina ukweli wowote. Tafadhali ipuuzeni
Hii ni kashfa kama kashfa nyingine. Haina ukweli wowote. Tafadhali ipuuzeniHata mimi kichwa kizito nimeelewa. Ila jamani kwa ayyo imenisikitisha.mkaka mtulivu. Mimi nilijua pearl katulia tu baada ya matatizo kumbe anapitia mengi. Inabidi aendelee tu kuvumilia maana asomeshewe mdogo wake alishwe yeye na mama mtu .kuwa tegemezi ni jambo baya sana
Mji mzito,mambo ni mengi sana halafu muda mchache!!! Kama WaterZo anakula mtaro wa Bi Kumi Na BEE basi hatari sana!! Kama ni Kweli namuonea huruma EFEME AKADEMIA MAMAA MJELAJELA.
Hii ni kashfa kama kashfa nyingine. Haina ukweli wowote. Tafadhali ipuuzeni
Nyingi ni chuki za low life individualsSiku nikiona evidence, itakuwa ndo mara ya mwisho kuwa mbishi kuamini chochote maisha yangu yote...
Tatizo za hizi stori zipo simple sana. Almost improbable. Almost.
Sent using Low Frequency Electromagnetic Waves
Code mbona nyepesi sana afu umesikia yule dada wa tunguli zimenibamba katoa mimbaWanazengo ngoja na Mimi Leo ni jaribu kuwapa umbea wa code sijui ntaweza mbea Mimi🤣🤣 , haya twende Sasa
Yule boss mfupi mwenye kumiliki redio flani hivi inayokuja kwa kasi, inasemekana yupo kwenye mahusiano yasiyofaa na mtangazaji wa kiume wa radio nyingine , ambapo mtangazaji huyo pia anamiliki duka la nguo.
Juzi kati maeneo ya bahari beach usiku kuliibuka na timbwili zito kati ya wawili wao, ambapo chanzo cha ugomvi huo ni wivu wa kimapenzi, Boss huyo anatarajia kuoa hivi karibuni, ambapo mtangazaji huyo anapinga vikali na hataki kusikia habar za ndoa Kwan anataka kuendelea ku enjoy penzi na pesa za kibosile huyo ambaye kimuonekano ni mfupi na mpole asiye na makuu.
Mashemeji fekero( mastaa Wa kubwa watatu wa kiume, mmoja msanii wa bongo fleva, Ana dread, mtangazaji wa radio , mwingine mwanasiasa) wa mahusiano hayo yasiyofaa walikua na shughuli nzito usiku huo kuwagombelezea wapenzi Hao , na kufanikisha kuwatuliza wawili Hao.
Mtangazaji huyo wa kiume anasifika sana kwa kusafir nchi mbali mbali duniani kwa pesa za mpenzi wake huyo wa siri ambaye inasemekana wapo wote mwaka wa tatu na nusu sasa, mmh mji mzito huu
Ila malkia wa mashauzi sijui atakua anamjua mke mwenzie mmh , mambo mengi mda mchache, Ila ata akijua atafanyaje? Chezeya nguvu ya pesa weye
Sasa hivi ntakua nawaletea ubuyu hot kwa code tu 🤣🤣
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kumbe witness ni kabinti ka juzi juzi tu.Kistuli nimesoma nae but mi nilikuwa nakuja tution, hapo perfect school, kwa Kadege 2008!
Hapo shuleni enyewe kaachaaga radhi mamaae!
I know her very very well...
Mi nilikuwa namuuliza huyo numbisa kuhusu mdogo wake kastuli hajamalizaga la saba? Coz mda kweli[emoji134]
Sent using Jamii Forums mobile app
Weeee mambo ni mengi muda mchacheHiyo mbona inajulikana toka kitambo kuwa huyo twanga anabinyonziwa na m@jy pamoja johm@k
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni kashfa kama kashfa nyingine. Haina ukweli wowote. Tafadhali ipuuzeni
Hii ni kashfa kama kashfa nyingine. Haina ukweli wowote. Tafadhali ipuuzeni
Ngoja nkupe umbea kutoka reliable source kabisaa!!!wako wote ila ndani vululuvululu yaani!!
Aunty hamtaki hata kumuona janaume linajing'ang'aniza balaa...wanamchambaaa iyobo vibaya mnoo!!!kwanza kumbe analelewa hana chochote yule mcheza shoo!mpk gari ya mama biskuti!yupo siku yoyote anabwaga rasmi ile kila mtu kivyake
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe tuko wote Dodoma.?Msojua umbeya wa mujini poleni sana hzi code zitawatoa hasho. Hahahahhaha nacheka kama mazuri. Watu mpk huku Idodomya tupo on rait traki