Mji mzito huu

Mji mzito huu

Hata mimi kichwa kizito nimeelewa. Ila jamani kwa ayyo imenisikitisha.mkaka mtulivu. Mimi nilijua pearl katulia tu baada ya matatizo kumbe anapitia mengi. Inabidi aendelee tu kuvumilia maana asomeshewe mdogo wake alishwe yeye na mama mtu .kuwa tegemezi ni jambo baya sana
Hii ni kashfa kama kashfa nyingine. Haina ukweli wowote. Tafadhali ipuuzeni
 
Wanazengo ngoja na Mimi Leo ni jaribu kuwapa umbea wa code sijui ntaweza mbea Mimi🤣🤣 , haya twende Sasa


Yule boss mfupi mwenye kumiliki redio flani hivi inayokuja kwa kasi, inasemekana yupo kwenye mahusiano yasiyofaa na mtangazaji wa kiume wa radio nyingine , ambapo mtangazaji huyo pia anamiliki duka la nguo.

Juzi kati maeneo ya bahari beach usiku kuliibuka na timbwili zito kati ya wawili wao, ambapo chanzo cha ugomvi huo ni wivu wa kimapenzi, Boss huyo anatarajia kuoa hivi karibuni, ambapo mtangazaji huyo anapinga vikali na hataki kusikia habar za ndoa Kwan anataka kuendelea ku enjoy penzi na pesa za kibosile huyo ambaye kimuonekano ni mfupi na mpole asiye na makuu.

Mashemeji fekero( mastaa Wa kubwa watatu wa kiume, mmoja msanii wa bongo fleva, Ana dread, mtangazaji wa radio , mwingine mwanasiasa) wa mahusiano hayo yasiyofaa walikua na shughuli nzito usiku huo kuwagombelezea wapenzi Hao , na kufanikisha kuwatuliza wawili Hao.


Mtangazaji huyo wa kiume anasifika sana kwa kusafir nchi mbali mbali duniani kwa pesa za mpenzi wake huyo wa siri ambaye inasemekana wapo wote mwaka wa tatu na nusu sasa, mmh mji mzito huu

Ila malkia wa mashauzi sijui atakua anamjua mke mwenzie mmh , mambo mengi mda mchache, Ila ata akijua atafanyaje? Chezeya nguvu ya pesa weye



Sasa hivi ntakua nawaletea ubuyu hot kwa code tu 🤣🤣


Sent from my iPhone using JamiiForums
Code mbona nyepesi sana afu umesikia yule dada wa tunguli zimenibamba katoa mimba
 
Kistuli nimesoma nae but mi nilikuwa nakuja tution, hapo perfect school, kwa Kadege 2008!

Hapo shuleni enyewe kaachaaga radhi mamaae!

I know her very very well...

Mi nilikuwa namuuliza huyo numbisa kuhusu mdogo wake kastuli hajamalizaga la saba? Coz mda kweli[emoji134]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe witness ni kabinti ka juzi juzi tu.
 
Ngoja nkupe umbea kutoka reliable source kabisaa!!!wako wote ila ndani vululuvululu yaani!!

Aunty hamtaki hata kumuona janaume linajing'ang'aniza balaa...wanamchambaaa iyobo vibaya mnoo!!!kwanza kumbe analelewa hana chochote yule mcheza shoo!mpk gari ya mama biskuti!yupo siku yoyote anabwaga rasmi ile kila mtu kivyake

Sent using Jamii Forums mobile app

Alikuwa hajui hana kitu kwa akili yake mbovu shangazi kwa kazi gani ya kudance TZ ukawa tajiri sema alijiegemeza upepo mbaya upite kapata danga anamuona wa nini kaka wa watu
Itamrudia tu anaona mjelajela nje tunamuona kalamba dume ndani ya nyumba kalamba mavi
 
Back
Top Bottom