INRI
JF-Expert Member
- Oct 5, 2017
- 1,324
- 2,319
Shida itoke wapi wakati kwenda UN headquarters, Geneva ni kama wewe kwenda kariakoo, bhado mihela ya shopping, outings etc.Wale wanadanga ka wanawake mbona hawawezi kusubiria mmoja atleast hao ni class tofauti na hawa wengine.
Huyo.aliyepangiwa na fa fa fa zamani sasa kapangiwa apartment na mzungu huko masaki mambo yake safi hatari hana shida yoyote
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata yule mwenzake rafiki yake sijui ndio noeli fashionista, alitamba kujirekodi video na jokate akitwerk , kapangiwa apartment, japo kuna kipindi waligombana kwaajili ya kuibiana danga sijui.
Kingine yule say davito, kaachika na manager wa power to you hana channel mjini hapa. Alivyozubaa hata hakuhiestablish pindi yupo na meneja.
Sent using Jamii Forums mobile app