Mji mzito huu

Ni kwamba dunia ya leo imerahisisha hii mambo kama ujio wa simu, internet, western games and all that stuffs, kwa kiasi kikubwa ndio imesababisha luonekane ni suala kubwa na geni machoni pa watu. In fact sio jambo geni!

Unajua kuna wanaume au wanawake wanahizo feelings lakini zipo dormant kama volcano vile zinasubiri kutokee kichocheo ndipo ziwe active, vichocheo ndio simu, porn, boarding school, sharing beds with the same sex etc.
Ila tuache utani idadi ya wanaume inazidi kupukutika kwa kasi sana wengi wanaelekea kuunga mkono juhudi za kina dada zetu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yule Rio yuko smart mno hana shida yoyote kivile shida ni yule stylish noel waliyeibiana danga na JoJo yeye ndo kampata mzungu anaye mjali hatari shopping south huko

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji848][emoji848][emoji848]rio ninawasiwasi kabisa wqkati kuna siku walikuwa wwnafanya birthday sijui ya mw3nzao gani wakaalikana wote kw3nye nyumba ya stylist full kupika kina dinda sijui yqn wote unaowqjua walikuw3po full kutwerk huko na mavideo na vimokono vyao kama spring iliyolegea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani huyo stylish nilimuona sehemu anakunywa juice ana mapozi kalegea hako ka mwili sasa. Yani ana mapozi kunishinda Mimi mtoto wa kike

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna danga noel alimuibia JoJo wakagombana. Stylish ni.msomi hata Rio nadhani wanajali afya zao ngoma ni kwa hawa mashoga wa chafu wa mtaani na wale wanao mgandaga Wema, wale hawajielewi kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16]badala wakamatie fursa kwa viongozi wanazani wma atawatoa wqkati ye mwenyewe anahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaume rijali unapata wapi ujasiri wa kumuinamia mwanaume mwenzio akuchomeke dudu??? Kweli Dunia inaelekea kukata pumzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili suala mkuu huwa halijadiliwi kwa mtazamo wa mtu mmoja au hisia za watu wanaochukizwa na hichi kitu kwani hakina conclusion kuhusu nini chanzo cha mtu kuwa hivyo nature/nurture debates.

Shangaa kuna mtu akiwa na miaka 38 ndio anaanza kujihusisha na hii kitu na alikuwa hana hisia zozote ila ndio hivyo anazoea mpaka uzeeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi ipo wengi wa hivo huanza kwa wanawake then, wanakinai wanapata hamu na wao kuanza. Mbaya huwa ni ile kwa watoto wadogo kuharibiwa bila kujua, ila hao wa 38 huanza na k then wanahamia kwa wanaume wenzao, it's like addiction

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…