Mji mzito huu

Hatar sana!
 
kuna mshkaji yupo karibu sana na CLASS, huyo mshkaji mi homeboy sana tu, ndio kanipa kuwa kipindi CLASS ana bif na Biikuminambili, chanzo ni CLASS kukataa KUTUNUKIWA mzigo!
Mungu tunusuru sisi waja wako!
 
Naaam naaam naaaam huu mji mzito kweli. Makabuli makabuli makabuli makabuli makabuli makabuli
 

Hatimaye code imefunguliwa... chezeya mahaba weye... wambea tulisubur this moment finally its here , lol
 
Jitahid binamu utamuelewa tu ,code simple sana mbona, yan hapo ndo nimeanza kujifunza code , Sasa nikibobea c ntakupoteza mbea mwenzetu[emoji1787][emoji1787]


Sent from my iPhone using JamiiForums

Wanazengo mna vichwa vigumu kama skuna ya mama rwakatale mxiee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…