cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Huwezi kuelewa pasipo kuwa makini, na suala hili n illegal hapa kwetu ndo maan hakna anae amini, ila km kna delicious James wanajionesha wazi ndo mnaamini,Kama ni. Siri we Umejuaje
Ila hili suala lipo San tena saiv limeshamiri haswaaa, mashulen, vyuon, makazini, viongozi wa selikali ndo usiseme.