Mji mzito huu

Kama ni. Siri we Umejuaje
Huwezi kuelewa pasipo kuwa makini, na suala hili n illegal hapa kwetu ndo maan hakna anae amini, ila km kna delicious James wanajionesha wazi ndo mnaamini,
Ila hili suala lipo San tena saiv limeshamiri haswaaa, mashulen, vyuon, makazini, viongozi wa selikali ndo usiseme.
 
Ahaaa mnasikiliza story za vijiwen pole yako ,dozen nmfaham kitambo Sana
Yaan we unasikia tu wat wanaropoka huko na we una conclude tu ,
Unamfahamuje? Mbona Kama una kitu unakijua fulan unaogopa kufunguka?
kwaya Azania
 
We umeyajua wapi hayo unayosema zaidi ya kukataa haya wanayosema
 
Poleeeeeh dozen alishawahi kutoka na jasiri had zama akajua ila ilkua [emoji347]tyuuh, then ruge akawa na boe (msanii fulan), ndo dozen akawa na majizzo, alipo rest muhaya, majay akaamua kuvuta chuma mjengoni
Dunia tamuuh, na mji mzito huu. Poleeeeh
Mmmhh ila muhaya na B15 ni ndugu mtu na mjomba wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…