[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16] xaawaNimewahi fasta mbio mbio, ukute huo ubuyu mie naujua kitambo..
Wacha tumsikilize binamu warumi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kabisa yaan
Leta binamuuWanazengo Jaman nimeletewa umbea wa hali juu had natetemeka, ebu itaneni nilipue Bomu warumi mie
Bado!?Wanazengo Jaman nimeletewa umbea wa hali juu had natetemeka, ebu itaneni nilipue Bomu warumi mie
Wee tena dea, lazima nikutag yaan.Ubuyu ukipostiwa uni tag
Mic you to dear, umemuona JoJo na Domo huko ig my dear, mbona anamtaftia mwenzake Case ya uhujumu uchumi?Wee tena dea, lazima nikutag yaan.
Afu mic u moaah, [emoji3526][emoji3526][emoji3526]
Usinambie wee, hebu ngoja niwahi huko, sitaki kupitwa lolMic you to dear, umemuona JoJo na Domo huko ig my dear, mbona anamtaftia mwenzake Case ya uhujumu uchumi?
Nenda tu, Domo mwenyewe wasn't comfortable wallahUsinambie wee, hebu ngoja niwahi huko, sitaki kupitwa lol
[emoji23][emoji23][emoji23] nimeona lol, afu anaweka furaha na tabasamu la unafiki na woga,. Anaogopa ya DAS mwampamba. HahahNenda tu, Domo mwenyewe wasn't comfortable wallah
Yaani joketi anamuumiza roho mweshimiwa hajui ni kumweka mwenzake hatarini[emoji23][emoji23][emoji23] nimeona lol, afu anaweka furaha na tabasamu la unafiki na woga,. Anaogopa ya DAS mwampamba. Hahah
Pasua bomuWanazengo Jaman nimeletewa umbea wa hali juu had natetemeka, ebu itaneni nilipue Bomu warumi mie
UVIKO=COVIDWe hapa unafukia bila shaka
Sasa jamani dea, kwan huyo mheshimiwa atamuoa jojo?Yaani joketi anamuumiza roho mweshimiwa hajui ni kumweka mwenzake hatarini
Mbezi beach wamejaa gays ambao wamepangiwa appartments na hawa vibosile.Mbezi Beach wamejaa just a call away.
Sure. Kuna mmoja kijana Mdogo tu anauza kule Insta.Mbezi beach wamejaa gays ambao wamepangiwa appartments na hawa vibosile.
Almost wengi wao ni vijana wa chuo, hasa IFM, CBE.
Tz kwa kuzusha jamaniWanazengo ngoja na Mimi Leo ni jaribu kuwapa umbea wa code sijui ntaweza mbea Mimi[emoji1787][emoji1787] , haya twende Sasa
Yule boss mfupi mwenye kumiliki redio flani hivi inayokuja kwa kasi, inasemekana yupo kwenye mahusiano yasiyofaa na mtangazaji wa kiume wa radio nyingine , ambapo mtangazaji huyo pia anamiliki duka la nguo.
Juzi kati maeneo ya bahari beach usiku kuliibuka na timbwili zito kati ya wawili wao, ambapo chanzo cha ugomvi huo ni wivu wa kimapenzi, Boss huyo anatarajia kuoa hivi karibuni, ambapo mtangazaji huyo anapinga vikali na hataki kusikia habar za ndoa Kwan anataka kuendelea ku enjoy penzi na pesa za kibosile huyo ambaye kimuonekano ni mfupi na mpole asiye na makuu.
Mashemeji fekero( mastaa Wa kubwa watatu wa kiume, mmoja msanii wa bongo fleva, Ana dread, mtangazaji wa radio , mwingine mwanasiasa) wa mahusiano hayo yasiyofaa walikua na shughuli nzito usiku huo kuwagombelezea wapenzi Hao , na kufanikisha kuwatuliza wawili Hao.
Mtangazaji huyo wa kiume anasifika sana kwa kusafir nchi mbali mbali duniani kwa pesa za mpenzi wake huyo wa siri ambaye inasemekana wapo wote mwaka wa tatu na nusu sasa, mmh mji mzito huu
Ila malkia wa mashauzi sijui atakua anamjua mke mwenzie mmh , mambo mengi mda mchache, Ila ata akijua atafanyaje? Chezeya nguvu ya pesa weye
Sasa hivi ntakua nawaletea ubuyu hot kwa code tu [emoji1787][emoji1787]
Sent from my iPhone using JamiiForums