Mji mzito huu

Mji mzito huu

Wee tena dea, lazima nikutag yaan.
Afu mic u moaah, [emoji3526][emoji3526][emoji3526]
Mic you to dear, umemuona JoJo na Domo huko ig my dear, mbona anamtaftia mwenzake Case ya uhujumu uchumi?
 
Nenda tu, Domo mwenyewe wasn't comfortable wallah
[emoji23][emoji23][emoji23] nimeona lol, afu anaweka furaha na tabasamu la unafiki na woga,. Anaogopa ya DAS mwampamba. Hahah
 
Yaani joketi anamuumiza roho mweshimiwa hajui ni kumweka mwenzake hatarini
Sasa jamani dea, kwan huyo mheshimiwa atamuoa jojo?
Naye jojo anashindwa kutafuta mtu wa size yake, anahangaika na gumegume la kizee kisa teuzi lol. Polee yake
 
Daah , huu Uzi sio size yangu mazee ...nimeingia chocho sio🚶
 
Wanazengo ngoja na Mimi Leo ni jaribu kuwapa umbea wa code sijui ntaweza mbea Mimi[emoji1787][emoji1787] , haya twende Sasa


Yule boss mfupi mwenye kumiliki redio flani hivi inayokuja kwa kasi, inasemekana yupo kwenye mahusiano yasiyofaa na mtangazaji wa kiume wa radio nyingine , ambapo mtangazaji huyo pia anamiliki duka la nguo.

Juzi kati maeneo ya bahari beach usiku kuliibuka na timbwili zito kati ya wawili wao, ambapo chanzo cha ugomvi huo ni wivu wa kimapenzi, Boss huyo anatarajia kuoa hivi karibuni, ambapo mtangazaji huyo anapinga vikali na hataki kusikia habar za ndoa Kwan anataka kuendelea ku enjoy penzi na pesa za kibosile huyo ambaye kimuonekano ni mfupi na mpole asiye na makuu.

Mashemeji fekero( mastaa Wa kubwa watatu wa kiume, mmoja msanii wa bongo fleva, Ana dread, mtangazaji wa radio , mwingine mwanasiasa) wa mahusiano hayo yasiyofaa walikua na shughuli nzito usiku huo kuwagombelezea wapenzi Hao , na kufanikisha kuwatuliza wawili Hao.


Mtangazaji huyo wa kiume anasifika sana kwa kusafir nchi mbali mbali duniani kwa pesa za mpenzi wake huyo wa siri ambaye inasemekana wapo wote mwaka wa tatu na nusu sasa, mmh mji mzito huu

Ila malkia wa mashauzi sijui atakua anamjua mke mwenzie mmh , mambo mengi mda mchache, Ila ata akijua atafanyaje? Chezeya nguvu ya pesa weye



Sasa hivi ntakua nawaletea ubuyu hot kwa code tu [emoji1787][emoji1787]


Sent from my iPhone using JamiiForums
Tz kwa kuzusha jamani

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom