Mji mzito huu

Halafu sasa alivyo huyo msanii huwez mzania, pandikiz la mtu ila alinyooshwa na mshedede na kuwa mdogo km kidonge cha priton. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dizaini Kama ulikuwa cameraman wao[emoji2]
 
Demu wako unamuingilia au?
 
Huyo jamaa nakuambia hakosi kwenye mikutano ya kimataifa kila nchi yupo. Labda hiyo connection ndio ilimfikisha huko?
Madogo wanasaga soli kitaa Ila kuna viumbe vinakula kiulani shauri ya samadi[emoji849]

Life halijawahi kuwa fair kabisa[emoji2]
 
Boarding school za jinsia 1 ndo store ya ushoga, yanayofanyka kule n hatari,
Mwez January 4m 1 wanavo report bas ujue wanakuwa wake za watu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nimesoma bweni japo niliwahi sikia hizo habari Ila sijawahi shuhudia kwa macho mpaka namaliza shule.

Hasa ukiji associate na Wana wapotevu utayaona tu

Sisi wengine tulkuwa watu wa kasfeta,ukwata,TYCS ,assa na Tamsia

Hizo Mambo ukikaa na wale waliopinda unaweza kutana nazo

Generally ,mimi sijawahi ona kwa macho ndani ya shule ya serikali ya bweni Technical school huko mbeya
 
Labd muaka ya nyuma kdg, ila kwa miak hii ya karibun na kuendelea, ndoa za ushoga zipo huko mashulen had Co poaah,

Tena bottom 1 kwa 3tops, akat mwngne had mtungo wanafanya, tatzo lake unakua siri ya wanaafunz, na saiv sio wale wenye mlengo wa dini au laah, wote n kasheshe tyuuh,

Boarding school watu wanakulan mande tena wengne had zam zam wanageuzana, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…