Mamserenger
JF-Expert Member
- Oct 14, 2019
- 1,156
- 2,092
A see we mwamba unafundisha mashoga jinsi ya kudanga na kupiga Pesa...?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umejuaje sasa, yule wa kuchezewa tyuuh, ushoga raha uwe na Elimu na ujitambue, mbna maisha utayaona simple sana, vibosile na vigogo vitakuweka ktk appartment za maan na miradi ya mapene,
Sasa tatzo la gays wa Bongo n la 7 D, wanachojua kujukoboa na kudanga wanaishia kuburuzwa na crew ya singeli, mbavu zangu mie, uwiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eeeeh kumbe ile franclizzy ni muddylizzy 😂😂😂Hahah!anaitwa Mohammed Rashid Sizyaa...kwao kusini alibadili dini baada ya kufika mjini dyadyaa ndo maana ndoa yake na Lulu ilikua na mikingamo maana wazazi wake woote waislam baba ake kwa sasa marehemu mzee Sizya hua anaendaga san kwao amejenga nyumba nzuri sana nafikir kwa pale kijijini hana mpinzani...
Dada niache kwa Leo!!!
Jasiri muongoza njia
Si bora mboondole😂😂 hata mjini nlikua sijaja.Habari ya defao, enzi global publishers wako kwenye chati mbona hii ilikuwa wazi hata wakina sisi tukaipata, upikuwa wapi eve? Bado ulikuwa mboondole nini mshikaji wangu!?[emoji23]
Nahisi ni huyu, aliyepigwa faini ya milioni 8 wakati kasababishia shirika hasara ya mabilioni ya pesa..Si bora mboondole[emoji23][emoji23] hata mjini nlikua sijaja.
Enzi hizo nlikua bado mdogo asee kujua hayo mambo sio rahisi hizo zilikua story za wakubwa, huyo aliyemkamua hivo alikua nani huyo kigogo wa ATCL
hilo ni lishoga basi linataka kutuaminisha kila mtu ni shoga, watu wote wa Tanzania yy ana information zao kua ni mashoga, yaani anataka kutuminisha ni suala la kawaida tu, Shenz kabisaWewe ndo ulipoanzia? Hauoni aibu ?
😂😂 Kuna mambo yanachekesha na kusikitisha, yani nimemgoogle defao jinsi alivozeeka na alivojikrimu kweli kweli, nikaconnect na huyu boss na hii habari 😂😂😂 mambo ni mazitoNahisi ni huyu, aliyepigwa faini ya milioni 8 wakati kasababishia shirika hasara ya mabilioni ya pesa..
Jina la kwanza ni la Hasimu mkubwa wa goliati ama la kwanza la beckham...
Si huyu bwana matak@@
Dunia pana hii... Mzee defao alipelekewa moto akaishia kulazwa na kulazwa... Enzi hizo vumbi la kongo bado sijui alimlia viagra..[emoji23][emoji23] Kuna mambo yanachekesha na kusikitisha, yani nimemgoogle defao jinsi alivozeeka na alivojikrimu kweli kweli, nikaconnect na huyu boss na hii habari [emoji23][emoji23][emoji23] mambo ni mazito
😂😂😂 Daaah hivi si atakua na mke na watoto mzee defao nimejaribu kugoogle sioni chochote kuhusu familia, au ni senior bachelor???Dunia pana hii... Mzee defao alipelekewa moto akaishia kulazwa na kulazwa... Enzi hizo vumbi la kongo bado sijui alimlia viagra..
[emoji23]mji mzito kweli huu[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eeeeh kumbe ile franclizzy ni muddylizzy [emoji23][emoji23][emoji23]
Nahisi ni senior bachelor.. sijawahi kusikia ishu za kutotolesha.[emoji23][emoji23][emoji23] Daaah hivi si atakua na mke na watoto mzee defao nimejaribu kugoogle sioni chochote kuhusu familia, au ni senior bachelor???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]I loveuscic
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maan wanateseka San, af wahusika hawana habae wala hawajar, wanakula tyuuh life, weuweeeeehWatafika wamechoka sana!hawatainjoi mbinguni kwa husda zao[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]
Kheeeeh kumbe waterzooh n Islamic? Kipi kilichomfanya abadili dini? N mama G au?Hahah!anaitwa Mohammed Rashid Sizyaa...kwao kusini alibadili dini baada ya kufika mjini dyadyaa ndo maana ndoa yake na Lulu ilikua na mikingamo maana wazazi wake woote waislam baba ake kwa sasa marehemu mzee Sizya hua anaendaga san kwao amejenga nyumba nzuri sana nafikir kwa pale kijijini hana mpinzani...
Dada niache kwa Leo!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan ulitaka nifanyaje?
Jibu hoja kwani, vipi huna maelezo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bro mbona unatetea sanaa
Au na weweee Pung ninii...?
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie siwafundishi, ila nasema ukweli uliopo. LolA see we mwamba unafundisha mashoga jinsi ya kudanga na kupiga Pesa...?[emoji23]
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwanza huu ubuyuu nimeanzisha mie? Km hapakuhusu nenda kwenye nyuzi zingne? Eboooooh.hilo ni lishoga basi linataka kutuaminisha kila mtu ni shoga, watu wote wa Tanzania yy ana information zao kua ni mashoga, yaani anataka kutuminisha ni suala la kawaida tu, Shenz kabisa
We ni Ke...?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwanza huu ubuyuu nimeanzisha mie? Km hapakuhusu nenda kwenye nyuzi zingne? Eboooooh.
Mapenzi ya maajizzoh na dozen, lawama nipewe mie inahusu? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwan mie nlikua mshenga? Au ndo nlimfuata majizzoh na gari? Unitue wee kaka, poleeeeeeeeh kwa kuteseka,
Kwan unatakaje? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]