Mji mzito huu

Katika harakati za uhai wake . Aliwahi kwenda kulala msibani ili tu aje na evidence 😁😁

RIP warumi.. kati ya watu niliokuwa nawafatilia sana ukimtukana kumsema vibaya awezi panic atakujibu kwa Hoja ...
usinikumbushe, af tulikaa hapa tunamsubiri atuletee habari za msibani! Da niliumia msiba wa huyu mtu kama namjua!
 
Continue to rest in peace Warumi, jukwaaa uliondoka nalo aiseeeh . Halijaweza kurudi ulipolifikisha! Kiukweli, I nikikumis napitia tu thread zako kama hivi , nacheka ,nalia af naishia kukuombea. Pumzika rafiki yangu!
Ahsante kwa wakati wako mzuri ulioutumia pamoja nasi, ulitupa tabasamu mpk siku za mwisho za uhai wako Warumi, kumbe unaumwa ila hukuacha kuja huku na kutuandikia tunacheka wewe unaugulia. DAH! I miss you ,hapa imebaki kama ndio mahala pekee naweza kufeel the laughters we shared! Uliniuma kiukweli, sijawahi kumlilia mtu nisiyemjua kwa kiwango nilikulilia!
 
Mashemeji fekero( mastaa Wa kubwa watatu wa kiume, mmoja msanii wa bongo fleva, Ana dread, mtangazaji wa radio , mwingine mwanasiasa) wa mahusiano hayo yasiyofaa walikua na shughuli nzito usiku huo kuwagombelezea wapenzi Hao , na kufanikisha kuwatuliza wawili Hao.

Nimecheka🤣 sana eti mashemeji fekero huyo msanii mwenye dread sijui ni nani. Rip warumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…