Mji mzito huu

Mji mzito huu

Hizi ni tetesi kama ni za kweli hazituhusu maana kila mtu na Lifestyle lake..

Code... Code.. Kuna wengine wambea uku hawana code kwenye minyeeelo... Trust me

Kuzungumnzia Maisha ya mtu ni sawa kutaka kujua utamu anao upata au uchungu ana upata.

Mwisho wake ni kukung'uta au kukung'utwa tuwe makini sana na vitu vya kusikia.

Unajua tunapo andika vitu ambavyo hatuna USHAIDI navyo, unajua tuna ziumiza hizi nafsi kiasi gani?

Nafsi hizi tunazo ziumiza zina familia ndugu pamoja na Marafiki.. Tusifanye hivyo tafadhali tunachane na mambo Person.

Mjini kuna mambo mengi usimlaumu mtu kwa kitu usicho kijua undani wake.. Wengine shida zili wadumbikiza uko tusi waseme vibaya.

Kutokuwa na Mke sio sababu eti ni muhumini wa mapenzi ya jinsia moja. Kuna watu Wazee kabisa na familia zao ila wanaliwa vifurushi kwa speed ya 4G.

Kuna nyumba ya Mungu moja Dar ipo maeneo fulani.. humo watu wana laluana waziwazi mpaka Mtumishi kanawa Mikono.. Cha ajabu watu wazima wenye familia zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Likisemwa sana jua ni la ukweli. Na ww hyo nyumba ya ibada tunaushahidi gani kama ni kweli
 
Hao ni mastaa lazima wasemwe sababu huwezi kuona tumekusema wewe wa kolomije
 
Alikuwa hajui hana kitu kwa akili yake mbovu shangazi kwa kazi gani ya kudance TZ ukawa tajiri sema alijiegemeza upepo mbaya upite kapata danga anamuona wa nini kaka wa watu
Itamrudia tu anaona mjelajela nje tunamuona kalamba dume ndani ya nyumba kalamba mavi
Hahaaa....mjela jela inakula kwake yaani huyo iyobo wenyewe jinga tu kuna siku demu wake anaenda kuliwa kamsindikiza akamuambia naenda kuongea nao kuhusu muvi nsubiri kaenda juu mshkaji anasubiri chini demu kumbe kaenda kuliwaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom