Mnyuke Jr
JF-Expert Member
- Jul 3, 2021
- 4,472
- 6,391
Haya mashirika ya kigeni hapa nchini, na hii ni moja ya mission yao ila wanafanya kwa siri sanaNaanza kuwa na uwalakini na vili shirrika la UN, usije kuwa huwa wanampango mkakati wa kuwaharibu watu.
Kizazi kinazidi kuangamia taratibu