Mji umetulia, mashabiki wa Yanga ni mfano wa kuigwa Afrika

Medecin

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2011
Posts
8,221
Reaction score
22,496
Laiti ingekuwa Simba imeshinda jana basi leo mji ungekuwa na kelele na majezi mekundu kama waganga wa kienyeji lakini Wananchi wameshinda tena nyingi na kama hamna kilochotokea. Kwa hili nawapongeza sana Yanga hakika nyinyi ni mashabiki wastaarabu sana, Simba wana la kujifunza kwenu.

Thread fupi tu kama mkia wa mbuzi sio ndefu kama za yule mbilikimo wa Kawe.
 
Sema mashabiki wa yanga hawana pesa maana jsna bar zimepoa hata wauza chips walikosa wateja..ila simba ikishinda biashara zinachangamka bar bia za hofa watu wanatoa
 
Laiti ingekuwa Simba imeshinda jana basi leo mji ungekuwa na kelele na majezi mekundu kama waganga wa kienyeji lakini Wananchi wameshinda tena nyingi na kama hamna kilochotokea. Kwa hili nawapongeza sana Yanga hakika nyinyi ni mashabiki wastaarabu sana, Simba wana la kujifunza kwenu.

Thread fupi tu kama mkia wa mbuzi sio ndefu kama za yule mbilikimo wa Kawe.
Yule genitalmicene yupo anamoa mibuno bwanake
 
Imeshaingia kwenye historia, Ila bado mbio za ubingwa kwa mnyama zipo palepale.
 
Attachments

  • giphy.gif
    giphy.gif
    1.4 MB · Views: 2
Back
Top Bottom