Medecin
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 8,221
- 22,496
Laiti ingekuwa Simba imeshinda jana basi leo mji ungekuwa na kelele na majezi mekundu kama waganga wa kienyeji lakini Wananchi wameshinda tena nyingi na kama hamna kilochotokea. Kwa hili nawapongeza sana Yanga hakika nyinyi ni mashabiki wastaarabu sana, Simba wana la kujifunza kwenu.
Thread fupi tu kama mkia wa mbuzi sio ndefu kama za yule mbilikimo wa Kawe.
Thread fupi tu kama mkia wa mbuzi sio ndefu kama za yule mbilikimo wa Kawe.