kwa media ipi ya Urusi watangaze wamepigwa uone kwenye channels zao,vita ya Cremia imepigwa nimekaa moscow hamna channel inayotangaza utasoma tu kwenye media za nje
Kwa uzee wangu huu na ushamba wangu plus umbumbumbu wangu sitathubutu ku- side upande wowote katika vita ya urusi na ukraine; nachukuia kuona binadfamu anakufa, nachukia kuona binadamu anaharibu mali; nachukia kuona binadamu anamuua binadamu mwenzie