Kama itakupendeza rohoni.Uzi unatakiwa kusomeka kuwa.jukwaa la kujifariji sisi wa Ukraine wa kwa mtogole
Safi sana Ukraine🙏🙏Ndege zisizo na rubani za Ukraine zimeshambulia mji wa Cheboksary ndani kabisa ya Urusi hii inaonyesha wazi kuwa Drones za Ukraine hazina mpinzani huko Russia wanapiga popote wanapotaka!!!!!
🪐 Mashambulizi ya Ukraine yawatisha Warusi viwanda vyao vyazidi kushambuliwa!!
View attachment 3362615
View attachment 3362616
View attachment 3362617
View attachment 3362618
Ukraine nae angeendelea kuipiga urusi sio urusi ana haki ya kujipigia Ukraine ila yeye asiguswe kwakeNdege zisizo na rubani za Ukraine zimeshambulia mji wa Cheboksary ndani kabisa ya Urusi hii inaonyesha wazi kuwa Drones za Ukraine hazina mpinzani huko Russia wanapiga popote wanapotaka!!!!!
🪐 Mashambulizi ya Ukraine yawatisha Warusi viwanda vyao vyazidi kushambuliwa!!
View attachment 3362615
View attachment 3362616
View attachment 3362617
View attachment 3362618