Mji wa Homs wachukuliwa na waasi wanajeshi wa Assad wajisalimisha

Siku ya Leo muda sio mrefu, waasi wa HTS wamefanikiwa kuiteka mji wa Homs ikiwa ni baada ya Jana kuuchuka mji wa Hama. Kwa Sasa kazi iliyobakia ni kuchukua mji wa Damascus.
Nacheki Al Jazeera news wanasema wameingia ila bado hawajauteka wewe umepata wapi hii habari?
 
Sarakasi zoote hizo ni Mpango mzima wa watu wenye afya ya akili, USA zee la kuchezea akili za wajinga ili kuwatoa kwenye msitari,

Russia, atahakikisha vipi Assad haanguki wakati huo huo, Ukraine nayo anaishughurikia?

Russia anaenda kuanguka, na safati hii, kifo chake kitakuwa cha kishindo kikukuu, itakuwa ni fadhari hata kipindi cha SSR

Na tunapoandika hivi, zinahesabika siku chache sana mbele kabla ya Putin hajkaamatwa na kukatwa kichwa

Yetu macho, chezea shalubu za wazee?
 
Amka mkuu kumekucha utajinyea bure😀
 
Mchezo umeisha.
Kabisa,ila hao jamaa watazifanya jamii za dini nyingine kuishi kwa shida,wiki iliyopita waliharibu miti ya xmass na kusema hapatokua na sherehe za xmass, kinyume kabisa na mtume alivyoishi na watu wa imani zingine
 
Siku ya Leo muda sio mrefu, waasi wa HTS wamefanikiwa kuiteka mji wa Homs ikiwa ni baada ya Jana kuuchuka mji wa Hama. Kwa Sasa kazi iliyobakia ni kuchukua mji wa Damascus.
Salamaleku shehe
 
Sarakasi zoote hizo ni Mpango mzima wa watu wenye afya ya akili, USA zee la kuchezea akili za wajinga ili kuwatoa kwenye msitari,

Russia, atahakikisha vipi Assad haanguki wakati huo huo, Ukraine nayo anaishughurikia?

Russia anaenda kuanguka, na safati hii, kifo chake kitakuwa cha kishindo kikukuu, itakuwa ni fadhari hata kipindi cha SSR

Na tunapoandika hivi, zinahesabika siku chache sana mbele kabla ya Putin hajkaamatwa na kukatwa kichwa

Yetu macho, chezea shalubu za wazee?
Du
 
Umetumia cocaine mkuu?
 
Back
Top Bottom