Mji wa Ifakara ni mzuri kuliko Njombe mjini

Mji wa Ifakara ni mzuri kuliko Njombe mjini

Hivi inakuaje,Ifakara bado ni wilaya lakini Njombe ni mkoa? maana Ifakara kuna maendeleo kuliko Njombe mjini
Kuna vigezo vinavyoangaliwa ili kupata hadhi ya Mkoa!! Njombe ni Mkoa kwasababu imekidhi vigezo hivyo ; na hapo Ifakara itapokidhi hivyo vigezo nayo itatunukiwa hadhi hiyo!!!
 
Njombe nimeishi miaka 3,nakujua hadi Lupembe,ukalawa,made kesho,kifanya,ikondo.

Njombe mjini ni sehemu ndogo sana,toka pale Hospital ya wilaya hadi uwanja wa ndege mji umeisha
Kuna mtu atakuja kukwambia hujataja/fika Matarawe hali Matarawe yenyewe ni kijiji chenye vibanda vya vilivyobanana
 
Back
Top Bottom