Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Labda anaiongelea Ifakara ya Katindiuka, Mwembetogwa, Mlabani, Silent Inn, Minepa, Viwanja 60, Lipangalala, Lumemo, Michenga, Ihanga, au Kihogosi!Ifakara kibaoni au ipi unayotaka kuifananisha na Njombe.
Ifakara ni mji wa zamani na wa kihistoria. Ila kuulinganisha na Njombe, kiukweli ni uonevu. Labda Ifakara uilinganishe na Kilosa. Hapo sawa. Ufupi tu Njombe iko juu zaidi ya Ifakara. Kuanzia kwenye kipato na pia majengo.