Mji wa Ifakara ni mzuri kuliko Njombe mjini

Hivi inakuaje,Ifakara bado ni wilaya lakini Njombe ni mkoa? maana Ifakara kuna maendeleo kuliko Njombe mjini
Kuna vigezo vinavyoangaliwa ili kupata hadhi ya Mkoa!! Njombe ni Mkoa kwasababu imekidhi vigezo hivyo ; na hapo Ifakara itapokidhi hivyo vigezo nayo itatunukiwa hadhi hiyo!!!
 
Kilombero teak plantation .Kilombero Plantation Ltd uwekezaji mega...Ifakara kumekucha
 
Njombe nimeishi miaka 3,nakujua hadi Lupembe,ukalawa,made kesho,kifanya,ikondo.

Njombe mjini ni sehemu ndogo sana,toka pale Hospital ya wilaya hadi uwanja wa ndege mji umeisha
Kuna mtu atakuja kukwambia hujataja/fika Matarawe hali Matarawe yenyewe ni kijiji chenye vibanda vya vilivyobanana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…