Labda anaiongelea Ifakara ya Katindiuka, Mwembetogwa, Mlabani, Silent Inn, Minepa, Viwanja 60, Lipangalala, Lumemo, Michenga, Ihanga, au Kihogosi!Ifakara kibaoni au ipi unayotaka kuifananisha na Njombe.
Nimeishi Ifakara kwa miaka mingi! Hayo mashamba hayana tija yoyote ile kwa mwananchi mmoja mmoja!Kilombero teak plantation .Kilombero Plantation Ltd uwekezaji mega...Ifakara kumekucha
Mara nyingi njia za treni hupita nje mji, so usitegemee sana kuona nyumba nzuri au mazingira mazuri karibu na njia za treni.Weka picha, mimi nilipita kwa Treni ya TAZARA niliona mapori na vijumba vidogovidogo tu.
Ifakara ilisha kidhi vigezo tangu awamu ya nne ya Jakaya, jina la mkoa lilisha pendekezwa, makao makuu ya mkoa yalisha pangwa na mpaka michoro ya ramani ya majengo ya makao makuu ipo tayari, sijui nini kinakwamisha.Kuna vigezo vinavyoangaliwa ili kupata hadhi ya Mkoa!! Njombe ni Mkoa kwasababu imekidhi vigezo hivyo ; na hapo Ifakara itapokidhi hivyo vigezo nayo itatunukiwa hadhi hiyo!!!
Unakaribishwa sana, Ifakara (wilaya ya Kilombero) ni bonde lenye rutuba karibu kila zao linakubali.Nami nataka nikawekeze kwenye big estates za mpunga,cocoa,mitiki,miwa.
Ngoja shimo langu la madini liteme mzigo lzm niwekeze kwenye kilimoUnakaribishwa sana, Ifakara (wilaya ya Kilombero) ni bonde lenye rutuba karibu kila zao linakubali.
Labda anaiongelea Ifakara ya Katindiuka, Mwembetogwa, Mlabani, Silent Inn, Minepa, Viwanja 60, Lipangalala, Lumemo, Michenga, Ihanga, au Kihogosi!
Ifakara ni mji wa zamani na wa kihistoria. Ila kuulinganisha na Njombe, kiukweli ni uonevu. Labda Ifakara uilinganishe na Kilosa. Hapo sawa. Ufupi tu Njombe iko juu zaidi ya Ifakara. Kuanzia kwenye kipato na pia majen
Karibu sana mkuu.Ngoja shimo langu la madini liteme mzigo lzm niwekeze kwenye kilimo
Nakubaliana kuanzia mikumi kwenda kilombero, ifakara, mbingu,mgeta,mlimba malinyi kuwe na mkoa na makao makuu yawe pale Ifakara fikiria Kilosa inafika mpaka pale kwenye kiwanda cha sukari kilombero kama nipo sahiiMkoa wa Morogoro umekosa watetezi. Viongozi wengi wamependa kupata na kuhidhi Ardhi wanahofu au maslahi binafsi kutokuugawa Mkoa wa Morogoro. Mkoa una vigezo vyote vya kuzaa Mikoa Mingine - Ukubwa Wa Eneo, Idadi yq Watu na Shughuli za Kiuchumi tangu pale Mikoa ya Rukwa, Iringa, Mbeya, Mwanza na Shinyanga ilipokuwa inagawanywa kuzaa Mikoa Mingine. Mikoa mingine ilikuwa Upendeleo Tu wa Wazi kuvutia Uwekezaji wa Raslimali za Taifa kwa Makao Makuu ya Mikoa. Mji wa Mpanda na Kilosa kihistoria inafanana na Wilaya ya Kilosa ina Idadi kubwa ya Watu na Uchumi Mkonge iliufanya Maarufu lakini haukufanywa kuwa Mkoa- kulikoni kama sio Upendeleo wa aliekuwa WM Mhe MPP. Mkoa wa Morogoro sasa iwe na isiwe uzae Mikoa Mitatu (1) Morogoro - Makao Makuu Morogoro (2) Rubeho au Wami Makao Makuu Kilosa na (3) Kilombero au Ruaha au Ulanga - Makao Makuu Malinyi au Ifakara.
Umenena ishu ni ardhi wamehifadhiMkoa wa Morogoro umekosa watetezi. Viongozi wengi wamependa kupata na kuhidhi Ardhi wanahofu au maslahi binafsi kutokuugawa Mkoa wa Morogoro. Mkoa una vigezo vyote vya kuzaa Mikoa Mingine - Ukubwa Wa Eneo, Idadi yq Watu na Shughuli za Kiuchumi tangu pale Mikoa ya Rukwa, Iringa, Mbeya, Mwanza na Shinyanga ilipokuwa inagawanywa kuzaa Mikoa Mingine. Mikoa mingine ilikuwa Upendeleo Tu wa Wazi kuvutia Uwekezaji wa Raslimali za Taifa kwa Makao Makuu ya Mikoa. Mji wa Mpanda na Kilosa kihistoria inafanana na Wilaya ya Kilosa ina Idadi kubwa ya Watu na Uchumi Mkonge iliufanya Maarufu lakini haukufanywa kuwa Mkoa- kulikoni kama sio Upendeleo wa aliekuwa WM Mhe MPP. Mkoa wa Morogoro sasa iwe na isiwe uzae Mikoa Mitatu (1) Morogoro - Makao Makuu Morogoro (2) Rubeho au Wami Makao Makuu Kilosa na (3) Kilombero au Ruaha au Ulanga - Makao Makuu Malinyi au Ifakara.
Ifakara ki biashara pamechangamka sana,na ndiyo maana Hadi Benki zinafunguliwa Hadi jumapili na siku za sikukuu,ampapo Njombe , Tabora,Iringa ,Sumbawanga,Mpanda nk. Hazifunguliwi.Labda anaiongelea Ifakara ya Katindiuka, Mwembetogwa, Mlabani, Silent Inn, Minepa, Viwanja 60, Lipangalala, Lumemo, Michenga, Ihanga, au Kihogosi!
Ifakara ni mji wa zamani na wa kihistoria. Ila kuulinganisha na Njombe, kiukweli ni uonevu. Labda Ifakara uilinganishe na Kilosa. Hapo sawa. Ufupi tu Njombe iko juu zaidi ya Ifakara. Kuanzia kwenye kipato na pia majengo.
Kahama itoa kwenye hizi takataka..kahama iweke pamoja na majiji makubwa kama arusha..mwanza..dodoma.Niongezee tu kwa TZ wilaya ambazo zinavibe ni pamoja Masasi, Mbinga,Kahama, Ifakara na Tunduma hizi sehemu huduma zote muhimu zipo
Si ndio hapo.Labda anaiongelea Ifakara ya Katindiuka, Mwembetogwa, Mlabani, Silent Inn, Minepa, Viwanja 60, Lipangalala, Lumemo, Michenga, Ihanga, au Kihogosi!
Ifakara ni mji wa zamani na wa kihistoria. Ila kuulinganisha na Njombe, kiukweli ni uonevu. Labda Ifakara uilinganishe na Kilosa. Hapo sawa. Ufupi tu Njombe iko juu zaidi ya Ifakara. Kuanzia kwenye kipato na pia majengo.
Ifakara ilisha kidhi vigezo tangu awamu ya nne ya Jakaya, jina la mkoa lilisha pendekezwa, makao makuu ya mkoa yalisha pangwa na mpaka michoro ya ramani ya majengo ya makao makuu ipo tayari, sijui nini kinakwamisha.
Acha kufananisha Njombe na vitu vya Kijinga.Hivi inakuaje, Ifakara bado ni wilaya lakini Njombe ni mkoa? Maana Ifakara kuna maendeleo kuliko Njombe mjini.
Ilikuwa mwaka gani??.Njombe nimeishi miaka 3,nakujua hadi Lupembe,ukalawa,made kesho,kifanya,ikondo.
Njombe mjini ni sehemu ndogo sana,toka pale Hospital ya wilaya hadi uwanja wa ndege mji umeisha
Hamna hoja nyieKuna mtu atakuja kukwambia hujataja/fika Matarawe hali Matarawe yenyewe ni kijiji chenye vibanda vya vilivyobanana
Sasa mkuu huo Mji si unachangamshwa kibiashara na wageni! Hasa Wasukuma. Ila ukija kwa wenyeji, mambo siyo mepesi hata kidogo.Ifakara ki biashara pamechangamka sana,na ndiyo maana Hadi Benki zinafunguliwa Hadi jumapili na siku za sikukuu,ampapo Njombe , Tabora,Iringa ,Sumbawanga,Mpanda nk. Hazifunguliwi.