Sawa Mkuu.Sasa mkuu huo Mji si unachangamshwa kibiashara na wageni! Hasa Wasukuma. Ila ukija kwa wenyeji, mambo siyo mepesi hata kidogo.
Nimeishi miaka mingi sana Ifakara. Ila ukiilinganisha na Njombe, naona kama Njombe iko juu zaidi ya Ifakara. Ifakara ingelinganishwa na Mji kama Kilosa vile, hakika Ifakara ingetisha mbaya.
Kwanini isiwe mkoa wa kilombero HQ ni ifakara kama ilivyo kagera na bukoba au mara na musoma.Kuanzia kibaoni,mjini hadi Lipangalala,mjini ni wa moto sana.
Hata harakati za kibiashara Ifakara ziko juu sana.
Ifakara iwe mkoa alafu wilaya zake ziwe Mlimba,malinyi,Ulanga(mahenge) na Kilombero(kidatu)
Ndio ndio,yaani kunatakiwa kuwe na mkoa wa IFAKARA uwe na wilaya za Mlimba,Malinyi,Ulanga(Mahenge),wilaya ya Kilombero.Nakubaliana kuanzia mikumi kwenda kilombero, ifakara, mbingu,mgeta,mlimba malinyi kuwe na mkoa na makao makuu yawe pale Ifakara fikiria Kilosa inafika mpaka pale kwenye kiwanda cha sukari kilombero kama nipo sahii
Hakuna vigezo vinavyofatwa,ni Siasa na upuuzi mtupu,Tabora ni kubwa zaidi ya Kagera,Geita,Kwa pamoja.Kuna vigezo vinavyoangaliwa ili kupata hadhi ya Mkoa!! Njombe ni Mkoa kwasababu imekidhi vigezo hivyo ; na hapo Ifakara itapokidhi hivyo vigezo nayo itatunukiwa hadhi hiyo!!!
Ongeza na kyela mkuuNiongezee tu kwa TZ wilaya ambazo zinavibe ni pamoja Masasi, Mbinga,Kahama, Ifakara na Tunduma hizi sehemu huduma zote muhimu zipo
Kwan huwa wana angaliaga uzuri wa mji ?Hivi inakuaje, Ifakara bado ni wilaya lakini Njombe ni mkoa? Maana Ifakara kuna maendeleo kuliko Njombe mjini.
Ifakara ya wapi hiyo iliyo zungukwa na misitu! Bora hata ungesema mashamba ya mpunga!Shida ya ifakara ni moja tu mji umezungukwa na misitu alafu upo mbali sana
Kilombero plantation ltd ilishakufaKilombero teak plantation .Kilombero Plantation Ltd uwekezaji mega...Ifakara kumekucha
Wewe inaonekana hujawahi kufika Ifakara,Ifakara ya wapi hiyo iliyo zungukwa na misitu! Bora hata ungesema mashamba ya mpunga!
Maana ukitoka nje kidogo tu ya mji, unakutana na mashamba ya mpunga. Au unaifananisha Ifakara na Mang'ula?
Ulanga(Mahenge), Malinyi, Mlimba, Kilombero na Ifakara, nahisi ipo hivi.Unaweza kututajia wilaya za huo Mkoa pendekezwa wa IFAKARA?
Kyela sijapata kufika lakin kuna mdau kaongezea makambako pale napo pako gudiOngeza na kyela mkuu
SO WHAT WITH THIS RUBBISH URGUMENT?Hivi inakuaje, Ifakara bado ni wilaya lakini Njombe ni mkoa? Maana Ifakara kuna maendeleo kuliko Njombe mjini.
Nimeishi Ifakara kwa muda wa miaka 18! Nimesoma huko kuanzia darasa la 1 mpaka kidato cha 6! Naifahamu nje ndani.Wewe inaonekana hujawahi kufika Ifakara,
Ukiimaliza ifakara unaanza kukutana na misitu ya kufa mtu, mpaka maporomoko ya maji yapo yaani kiufupi mji upo msituni alafu ni ardhi ya maji maji (tindiga) hapafai kabisa kuishi huko,
Msimu wa mvua nilishuhudia nyumba zinamezwa na maji
Ukienda Malinyi ndio usiseme hovyo wilaya nzima inazingirwa na maji hakuna kutoka nje ya wilaya hata siku 5