Mji wa Ifakara ni mzuri kuliko Njombe mjini

Mji wa Ifakara ni mzuri kuliko Njombe mjini

Vipi hilo daraja la Lumemo wakati wa masika? Enzi naishi huko, mambo yalikuwa tofauti sana. Wasalimie pia makamanda wote wa Michenga na Mahutanga!
Ahahaa....lile daraja lipo chini sana so mvua ikipiga ya nguvu maji yanapita juu..

Poapoa kiongozi japo nmetoka muda sana uko
 
Njombe nimeishi miaka 3,nakujua hadi Lupembe,ukalawa,made kesho,kifanya,ikondo.

Njombe mjini ni sehemu ndogo sana,toka pale Hospital ya wilaya hadi uwanja wa ndege mji umeisha
Kwani unavifahamu vigezo vya eneo kupewa hadhi ya mji, wilaya au mkoa?
 
Njombe nimeishi miaka 3,nakujua hadi Lupembe,ukalawa,made kesho,kifanya,ikondo.

Njombe mjini ni sehemu ndogo sana,toka pale Hospital ya wilaya hadi uwanja wa ndege mji umeisha
Njombe kubwa kaka umetembea sehem cha che mno ukianzia kibena hadi nundu kuna wilaya kubwa kabisa ludewa, wanging'ombe,makete na angalia tu ata mapato ya ndan ya halima shauli utajua kwamba njombe kubwa kiasi gan
 
Sasa mkuu huo Mji si unachangamshwa kibiashara na wageni! Hasa Wasukuma. Ila ukija kwa wenyeji, mambo siyo mepesi hata kidogo.

Nimeishi miaka mingi sana Ifakara. Ila ukiilinganisha na Njombe, naona kama Njombe iko juu zaidi ya Ifakara. Ifakara ingelinganishwa na Mji kama Kilosa vile, hakika Ifakara ingetisha mbaya.
Kiukweli naifahamu njombe na ifakara kwa uchache ila kulinganisha hii miji ni uonevu njombe ni mji mkubwa
 
Nilienda juzi ifakara nikaonawanafunga mpk taazabarabarani ulenibongelamji
 
Wasio jua hiyo ndo ifakara
original.jpg
Ifakara_kwa_macho_ya_ndege.jpg
ihrdcinfront (3).jpg
Ifakara_kwa_macho_ya_ndege.jpg
Ifakara Health Institute Lab 2009 050.jpg
 
Njombe nimeishi miaka 3,nakujua hadi Lupembe,ukalawa,made kesho,kifanya,ikondo.

Njombe mjini ni sehemu ndogo sana,toka pale Hospital ya wilaya hadi uwanja wa ndege mji umeisha
aisee kifanya umeishi?? me ndio kwetu hapo mzee.anyway umebahatika kutembelea njombe nowdays?au usharudi kifanya ukapaona mzee ?? kilombero haitii dafu mzee
 
Njombe ndiohiiau
P9191363-1024x768.jpg
Tanzania3-637x400.jpg
 

Attachments

  • P9191363-1024x768.jpg
    P9191363-1024x768.jpg
    183.6 KB · Views: 34
Yaani njombe wakinga na wabena wakiacha Mambo yakiwakiwaki ya kukazia wageni ni mkoa mmoja wenye maendeleo ya makubwa Sana yaani huku wachina na wakenya wapo Sana Ila wahindi na wachaga wanapigwa spanner na mkinga Ila bila ya hivyo njombe ni Moto wakuotea mbali
Yaani njombe wakinga na wabena wakiacha Mambo yakiwakiwaki ya kukazia wageni ni mkoa mmoja wenye maendeleo ya makubwa Sana yaani huku wachina na wakenya wapo Sana Ila wahindi na wachaga wanapigwa spanner na mkinga Ila bila ya hivyo njombe ni Moto wakuotea mbali
naifahamu njombe vizuri, wabena ni watu wachakarikaji sana kokote watakakoenda, ukijumlisha na wakinga wanajua wenyewe huwa wanaishije. hakuna sehemu mkinga alipo mchaga aliwahi kusafaivu, hata kariakoo mdogomdogo wamechatwaa wakinga. wana biashara kubwa mno na pesa nyingi ila wanaishi maisha ya kimaskini na ya kujitesa hadi wanakufa, hawafurahii hizo pesa zao jambo ambalo mimi siwezi kulifanya. njombe na mafinga hata kama hamjaitaja, kuna utajiri mkubwa sana wa misitu isiyo asili, biashara ya mbao sana nafikiri ndio wanaosupply mbao karibia nchi nzima. ukija kwenye kilimo, njombe wanalima sana viazi, izo chips unakula hapa dsm zimelimwa njombe.
 
W

Waakina Mbwenu wapo vizuri sana, wamejenga macastle kwenye migomba humo.
wahaya huwa wanajifanya wamejenga kwao, ila ukweli ni kwamba, watu pekee ninaowapongeza kwa kujenga kwao ni wachagga, wamejitahidi sana kwa hilo na vijiji vya uchagani ni tofauti kabisa na vijiji vya mikoa mingine. tuwapongeze.
 
Hivi inakuaje, Ifakara bado ni wilaya lakini Njombe ni mkoa? Maana Ifakara kuna maendeleo kuliko Njombe mjini.
Usipende kudharirisha Njombe na vimiji vya kipumbavu .hakuna Mji pale bali ni mashamba ya mpunga ya kuzalisha mbu tuu.

Ona balaa la joto hapo bado mbu👇

Screenshot_20211116-081506.png
 
Napata shida kiasi but Ifakara pamoto sana pako poa binafsi nilipapenda sana kuliko Njombe lakin ki ukweli Ifakara kwa Njombe bado kiasi
Picha za huo moto wa ifakara ziko wapi?

Njombe👇
 

Attachments

  • 20211021210418.mp4
    97.8 MB
Labda anaiongelea Ifakara ya Katindiuka, Mwembetogwa, Mlabani, Silent Inn, Minepa, Viwanja 60, Lipangalala, Lumemo, Michenga, Ihanga, au Kihogosi!

Ifakara ni mji wa zamani na wa kihistoria. Ila kuulinganisha na Njombe, kiukweli ni uonevu. Labda Ifakara uilinganishe na Kilosa. Hapo sawa. Ufupi tu Njombe iko juu zaidi ya Ifakara. Kuanzia kwenye kipato na pia majengo.
Usiandikie mate, waambie waweke picha ,mdomo kila mtu anao
 
Back
Top Bottom