ward41
JF-Expert Member
- Apr 3, 2022
- 749
- 2,533
Mji mkuu wa Israel Jerusalem una maajabu mengi.
Neno Jerusalem lina maana (misingi ya amani)
1) Uko katikati ya dunia.
2) Umezungukwa na milima
3) Manabii wote walifia Jerusalem
4) Yesu alisulubiwa Jerusalem
5) Adam alizikwa Jerusalem
6) Abraham alimtoa sadaka isaka Jerusalem
7) Ni chimbuko la dini mbili (Ukristo na Uyahudi)
8) Jina Jerusalem lipo sehemu mbili, duniani na Mbinguni
9) Mungu amekuwa akionekana Sana mji huu wa Jerusalem hasa miaka ile kabra ya Yesu