Mji wa Kahama unaongoza kuwa na vituo vya mafuta kuliko wilaya yoyote hapa Tanzania

Hebu iboreshe taarifa yako kwa kuweka takwimu. Kitaifa mji wa kahama unashika namba ngapi kwa kukusanya mapato ya serikali?
 
Wanajivunia nini hasa kinacho waingizia kipato, ukienda Mafinga ni mbao, ukienda Makambako ni mbao hapo nini haswa watafutaji wanafanya nini kujiingizia kipato?
 
Yaani unamaanisha kuwa Igunga iko juu ya Kahama!? Kwa biashara zilizopo mji wa Kahama, Igunga imeachwa mbali sana. Naona unalinganisha kifo na usingizi.
Wakati Kahama ukiwa Mji, Igunga nilikuwa kijiji kidogo tu pale barabara kuu itokayo Singida kwenda Mwanza. Ubavu huo wa kuitoa Kahama kibiashara iliutoa wapi? Kuweni wakweli bwana!
 
Kahama karibu wataifikia igunga kwa kiwango kikubwa cha biashara
Mkuu unautani wewe yaani unataka kufananisha Kahama na Igunga kibiashara Kahama is too far compare to Igunga labda kama hujawahi fika Kahama
 
Tanga mjini kunavituo vya mafuta avizidi 25 ila inaibuluza mikoa mingi kwa mkwanja
 
Acha porojo weka takwimu mbona saiz miji mingi inavituo vya kutosha vya mafuta mf Kuna mji wa makambako
 
Ushaita Mji sasa unataka Mji ulingane na Wilaya? Unaelewa ulichoandika?

Kwa hiyo unashauri nini mkuu.
 
Miaka ya 70 mji wa Nzega uliongoza kuwa na baa nyingi nchini.
 
Sehemu ambazo kwa biashara Tanzania ziko vizuri kwa mtafutaji ni kama ifuatavo, Kahama, katoro, lamadi, Igunga, manyoni, ifakara, Mbinga, Kasulu, Masasi, Mafinga, Njombe, Tunduma, Karatu, maeneo niliyotaja kibiashara yako vizuri na biashara inafanyika karibu mwaka mzima haitegemei msimu mmoja tu wa mazao. Na mengine ambayo sijayataja watasaidia wengine
 
Kuanzia Tazara hadi pugu zinafika 50

Au wilaya uliyomaanisha n wilaya za huko huko except dsm?
 
Wewe ndio umeweka orodha nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…