MTZ 255Dar
JF-Expert Member
- Sep 25, 2018
- 1,149
- 3,963
Mji wa KHERSON ambao Ni miongoni mwa majimbo 4 yaliyonyakuliwa na Urusi umekumbwa na mashambulizi makali ya Maroketi kutoka kwa wanajeshi wa Ukraine.
Mashambulizi hayo yameharibu kabisa Njia tatu za usafirishaji umeme na maji na kusababisha mji huo kukosa umeme na maji.
Hayo yanajiri huku majeshi ya Ukraine yakijiandaa kupambana vikali na majeshi ya Urusi zaidi ya 30,000 waliorundikwa katika mji huo.
Viongozi kadhaa wa Jimbo Hilo waliosimikwa na Cremlin wameuhama mji huo na kwenda katika majimbo mengine yanayodhibitiwa na Urusi ikiwemo Crimea.
The outages come as Russia accuses Ukrainian forces of striking and damaging Moscow-held Nova Kakhovka dam. Russian-controlled Kherson region without power after strike