Edsger wybe Dijkstra
JF-Expert Member
- Aug 22, 2019
- 244
- 491
We uko mwanza hii hii niliopo mimi?Joto la jana na leo tu
Baridi ilizidi
Vaa barakoa vumbi ni hatari!Wajomba na mashangazi hamjambo? Natumaini mko poa.
Ivi wakazi wa mwanza pamoja na wale ambao mmeutembelea mji huu siku za karibuni hamjagundua kuwa jua limekua kali sana likiambatana na joto la kufa mtu katika mji huu? Nimeishi Mwanza toka mwaka 2000 hali haikua ivi , kuna mabadiliko makubwa ya hali ya hewa nadhani yanatokana na kuongezeka kwa pollution.
Au nasema uongo ndugu zangu? Jiji limekua la hovyo utadhani Dar es salaam !Mi nakua mkweli, msema kweli mpenzi wa Mungu.
Mwanza vumbi hamna wewe.Vaa barakoa vumbi ni hatari!
Sasa joto linatoka wapi?Mwanza vumbi hamna wewe.