DOKEZO Mji wa Sumbawanga lango la biashara ya wahamiaji haramu. Polisi Rukwa mpo kimya

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Sir robby

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2022
Posts
2,396
Reaction score
4,080
Mji wa Sumbawanga ni makao makuu ya mkoa wa Rukwa. Baada ya suala barabara kukamilika kutoka Mbeya mpaka Mpanda kiwango cha lami usafiri umekuwa wa uhakika mabasi na magari mengi yana tumia barabara hiyo.

Sasa hivi kuna wimbi kubwa la biashara ya wahamiaji haramu wanapita mjini Sumbawanga kwa mabasi kisha wanasafirishwa kwa magari madogo ya wafanyabiashara wa mji wa Sumbawanga kwa kutumia magari yao na kuwapeleka nchi za jirani.

Taarifa kwa polisi
Stend ya mabasi mpya ni kituo cha kupokelea hao wahamiaji haramu fanyeni upelelezi wenu wa kiintelejensia na wahusika mtawakamata ambao ni wafanyabiashara wa mji wa Sumbawanga.

Wape taarifa hizi Ofisi ya Uhamiaji (M) Sumbawanga.
 
Kama hao unaowajulisha ndio biashara yao sasa watasaidiaje?
 
Waache wapite watu tupige pesa, kwani wamekuambia wanakuja kukaa kwako?. Acha ujinga
 
Back
Top Bottom