JESHI LA POLISI LAFANYA UCHUNGUZI WA TUKIO LA KIJANA ALIYEFUNGWA PINGU SIKU TATU
Jeshi la Polisi Mkoa wa Rukwa limeona picha mjongeo inayosambaa kupitia mitandao ya kijamii ikimuonesha kijana anayejitambulisha kwa jina la Giles George Nandi wa Wilaya ya Nkasi Mkoa wa Rukwa akiwa amefungwa pingu...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Rukwa limetoa ufafanuzi juu ya picha mjongeo inayomwonesha Kijana mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Pilato, akilumbana na Askari Polisi katika ibada iliyofanyika katika Kanisa Katoliki la Mlima Itwelele, Sumbawanga.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kamanda wa...
Wafipa si wakorofi jamaani hadi kuwaletea mbwa ila ukizingua wanakupiga radi ya 200 kwenye jua kali
====================
Katika kuimarisha ulinzi na usalama mkoani Rukwa, Jeshi la Polisi kupitia kikosi cha Mbwa na Farasi kinakabidhiwa mbwa watatu kwa ajili ya kukabiliana na uhalifu pamoja na...
Mji wa Sumbawanga ni makao makuu ya mkoa wa Rukwa. Baada ya suala barabara kukamilika kutoka Mbeya mpaka Mpanda kiwango cha lami usafiri umekuwa wa uhakika mabasi na magari mengi yana tumia barabara hiyo.
Sasa hivi kuna wimbi kubwa la biashara ya wahamiaji haramu wanapita mjini Sumbawanga kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.