The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,778
- 8,232
Aprili 11, 1909: Karibu familia 66 za Kiyahudi zilikusanyika kwenye matuta ya mchanga kaskazini mwa Yaffa ili kushiriki katika kugawanya shamba la ekari 12-tukio ambalo liliashiria kuanzishwa kwa kile ambacho baadaye kingekuwa mji wa Tel Aviv, Israeli .
Wengi hawajui kuwa sehemu kubwa ya nchi hiyo ilikuwa ukiwa kwa 70% toka mwaka 70 AD. Wayahudi wameijenga na kuifanya majiji ya kupendeza kutoka jangwani. Waarabu waliishia kuishi katika vijumba vya kale ambavyo hawakuvijenga wao. Angalia Yerusalemu mashariki walipo waarabu wengi na ona upande wa magharibu wa Yerusalemu walipo Wayahudi wengi utaona tofauti ya maisha.
Wenye nchi wanaijenga nchi yao kwa moyo.