VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,492
- 1,466
Hiyo ni sinema zetu mjomba. Toka lini mzungu ana huruma na mtu mweusi? Sudani vita vina muda gani? Uliwahi msikia! DRC, ndo nchi yenye utajiri ardhini number moja duniani. Na utajiri wote,asilimia kubwa, upo hapo mashariki.Kwahio Trump kashindwa wapatanisha juzi?
Si waigawe iwe nchi mpya ili wajichotee mali bila usumbufu? Wanaweza pata hizo mali bila vitaHiyo ni sinema zetu mjomba. Toka lini mzungu ana huruma na mtu mweusi? Sudani vita vina muda gani? Uliwahi msikia! DRC, ndo nchi yenye utajiri ardhini number moja duniani. Na utajiri wote,asilimia kubwa, upo hapo mashariki.
Ni kama watu walipimana uwezo kujua nani anaweza simamia miradi. Maoni yangu lakini.
Elewa, Trump baada ya kusaini pande zote, alitabasamu na akasema sasa, wote wanaenda kupata mabilioni ya pesa.Si waigawe iwe nchi mpya ili wajichotee mali bila usumbufu? Wanaweza pata hizo mali bila vita
Ze comediKwahio Trump kashindwa wapatanisha juzi?
Kipengele cha kusitisha au kamaliza vita hakikujadiliwa?Elewa, Trump baada ya kusaini pande zote, alitabasamu na akasema sasa, wote wanaenda kupata mabilioni ya pesa.
Kiwanda cha kusafisha madini kutoka DRC, kipo Rwanda. Alitia saini rais wa Congo. Madini yatachimbwa, yapelekwe Rwanda, yachakatwe, ndo yasafilishwe.
Mpaka hapa hakika umeelewa kinachoendelea.
Linchi kubwa sana haigawiki,m23 ,fdlr wapo humo,fardc wapo, wazalendo wamo na wengine km vyama 20 militiaSi waigawe iwe nchi mpya ili wajichotee mali bila usumbufu? Wanaweza pata hizo mali bila vita
Kuna kitu hutaki kuelewa. Kati ya madini na roho za watu, kipi kina faida kwa mzungu?? Kwa hiyo,maandishi ni kitu kimoja,na utekelezaji ni kitu kingine.Kipengele cha kusitisha au kamaliza vita hakikujadiliwa?
Ni ngumu,kwa sababu kwa swala kama hili,ni wazi marais wanatunishiana msuri na kudhalauliana, na huku ni wazi nyuma ya pazia kuna mikono mizito ambayo ni chanzo. Usitegemee umoja wa ngozi nyeusi,wakati kila mtu anavutia kwake.Nasemaga kila siku Waafrica tunatakiwa kujisimamia na kutatua matatizo yetu wenyewe bila wazungu, juzi tumeona Trump ameenda kutatua huo mgogoro ila mambo ndo kama hivyo mnavyoona.
Kiufupi hata hii habar yetu ya kumshtak Malkia wa malawi naona ni kama kupoteza muda tu maan wazungu nao sio wa kuwaamini sana.
Waafrica tujifunze kujikomboa wenyewe
ujinga unazalisha audicity.Hiyo ni sinema zetu mjomba. Toka lini mzungu ana huruma na mtu mweusi? Sudani vita vina muda gani? Uliwahi msikia! DRC, ndo nchi yenye utajiri ardhini number moja duniani. Na utajiri wote,asilimia kubwa, upo hapo mashariki.
Ni kama watu walipimana uwezo kujua nani anaweza simamia miradi. Maoni yangu lakini.
Huo ujinga kuwa eti DRC ni taifa namba 1 Duniani katika utajiri wa natural resources, huwa mnalishwa na nani?Hiyo ni sinema zetu mjomba. Toka lini mzungu ana huruma na mtu mweusi? Sudani vita vina muda gani? Uliwahi msikia! DRC, ndo nchi yenye utajiri ardhini number moja duniani. Na utajiri wote,asilimia kubwa, upo hapo mashariki.
Ni kama watu walipimana uwezo kujua nani anaweza simamia miradi. Maoni yangu lakini.
We ndio umeongea facts, wangejua hao serikali ndio sasa mafia madini wanauza kwa mikataba mibovu kwa kupewa visenti vichache vya kunufaisha familia tu. Ila cha ajabu waasi wakichukua unaambiwa wanatumika na mabeberu!!Kichwa chako cha habari kilitakiwa kisomeke hivi "Mji wa Uvira uko mikononi wazalendo wa M23" na sio eti huko mikononi mwa waasi.
Hakuna makundi ya waasi hatari kama hizi serikali zenu mnazoziita serikali za kiraia.
Nachofikiri Walipatanishwa Rwanda na DRC sidhani kwenye mazungumzo Rwanda ilikiri kumsaidia M23? Kama haikukiri basi kinachoendelea ni sawa maana M23 wangeacha mapigano ingeonyesha ni kweli Kigali ina mkono wake.Kwahio Trump kashindwa wapatanisha juzi?