Mjihadhari sana na huu mtandao wa Tinder

𝗦𝗵𝗶𝗱𝗮 𝗸𝘂𝗯𝘄𝗮 𝗵𝗶𝗶 𝗸𝘄𝗮 𝗪𝗮𝘁𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮

Kuna tabia kubwa inazidi kushika Kasi nchini Tanzania ya wadada lika mbalimbali kujirahisisha kwa kutaka maisha mepesi ni hatari Sana.

Kuna program inaitwa tinder kazi yake kutafuta mchumba online ukimpata basi mnakua wapenzi.

View attachment 2675388

Ni app ambayo wengi wanaamini zinaweza kuwasaidia kupata upendo Toka kwa watu wengine lakini ni hatari maana inasababisha tatizo la afya ya akili ukiendekeza sana.

Kumekua na wimbi kubwa la wadada wa kitanzania kuweka picha zao na maelezo kadhaa kujihusu wao kuwa wanatafuta wapenzi kwenye mitandao ya kutafuta wapenzi jambo hii sio nzuri kabisa.

Njia wanayotumia sio ya kujiheshimu na wajichukulia poa kabisa utakuta mdada anaandika kwenye mtandao jina lake, mahali anapoishi , anatafuta mwanaume wa aina Gani nk unafikiri ni salama.

View attachment 2675389

Unajua kwanini Acha kabisa kutumia mtandao wa tinder [emoji116]

• inasababisha wasiwasi pamoja na stress mfadhaiko haswa inapotokea Kila ukiweka taarifa zako ujampata mtu sahihi.

View attachment 2675390

• pia Kuna matapeli wengi wanatumia picha za sura za watu wengine kujiunga na kutapeli watu

• Kuna magonjwa unaweza kuyapata bila kutarajia
• pia inahusisha masuala ya picha ya mwili ila kiuwalisia hujui chochote nyuma ya Huyo mtu unayetaka kuanzisha uhusiano naye jihadhari.

• unaweza tekwa bila kujijua na kutumika kingono
View attachment 2675391

• thamani, hadhi yako kama mwanamke au mwanaume inapungua maana taarifa zako zote mtandaoni zipo kukuhusu wewe nk.

Wadada wakaka Acheni kutumia mtandao kutafuta wachumba mjiheshimu [emoji2772]

Vipi umeshawahi kutumia mtandao wa kutafuta mchumba online ulifanikiwa kufunga naye ndoa tuachie maoni yako ?
Mkuu, ndani ya tinder huwezi kumkuta msichana mwenye akili zilizotimia. Wengi wao ni machizi wa kutupwa! Hawafai kula wala kulumangia!
 
We ndio huijui Tinder, unaowapa ushauri ndio wanaijua vizuri
 
Sasa tinder mbna ina afadhari, nenda Badoo na Romeo ukajionee maajabu, woiiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Romeo sijawah itumia embu nitoe ushamba mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nenda kaingie, ila ile ya kulipia, hii ya free utakutana na chokoraa na visebengo vya kushatoo.

Ya kulipia ndo utakutana na watu wa kueleweka na maana.
 
Mchele kg 2000 Tandika sokoni nadhani huu Muda mkijiuza huko mitandaoni msisahau kununua Akiba ya chakula maana hiyo mili inachoka na Kesho hamuijui
 
Back
Top Bottom