Anakuja Yesu
JF-Expert Member
- Mar 3, 2017
- 564
- 485
Sasa tutajuaje jina lake ni zuri wakati unalificha ficha, au ulipoiwasilisha hii mada ulikuwa unamaanisha vifupisho vya majina mazuri ya ke ?
Naungana na Dan Cooper uongozi wa JamiiForums Media wawe wanatoza kiasi fulani cha pesa kwa kila post inayowekwa kwenye baadhi ya majukwaa, hii itapunguza mada zisizo za msingi au tija.
Umba Tuku mada yako haieleweki na wewe mwenyewe wala hueleweki zaidi unajikoroga tu..
Umba Tuku kwenye uzi wako nakunukuu "Mdada ana jina tosha Mahabat jina ni lizuri mdada ni mzuri bora msomaji hukuwepo". Huku kwenye kuchangia kwako unasema (Mahabat) ni jina la baba yake..
Na ndio maana hadi sasa wachangiaji hawajui maudhui ya huu uzi, pengine kuna kitu kinakutatiza na hilo si jambo la ajabu kwa watanzania wa awamu hii.
He kwanini hukuchukua namba sasa!!!?
Mtoto alikupagawisha sana nn?Mastory yalikuwa mengi mnoo hato no da nikasahau asee baada ya kuachana kama 30mn nikajilaum mno