Mjina matamu ya kike

Mjina matamu ya kike

Mimi naona kama sijaelewa vizuri uzi huu unataka nini?sa sijajua wanao changia wameelewa nn?
 
Sasa tutajuaje jina lake ni zuri wakati unalificha ficha, au ulipoiwasilisha hii mada ulikuwa unamaanisha vifupisho vya majina mazuri ya ke ?

Naungana na Dan Cooper uongozi wa JamiiForums Media wawe wanatoza kiasi fulani cha pesa kwa kila post inayowekwa kwenye baadhi ya majukwaa, hii itapunguza mada zisizo za msingi au tija.
 
@MANDELAA KIWELU jamaa ni wehu au ni stress
 
Umba Tuku mada yako haieleweki na wewe mwenyewe wala hueleweki zaidi unajikoroga tu..

Umba Tuku kwenye uzi wako nakunukuu "Mdada ana jina tosha Mahabat jina ni lizuri mdada ni mzuri bora msomaji hukuwepo". Huku kwenye kuchangia kwako unasema (Mahabat) ni jina la baba yake..

Na ndio maana hadi sasa wachangiaji hawajui maudhui ya huu uzi, pengine kuna kitu kinakutatiza na hilo si jambo la ajabu kwa watanzania wa awamu hii.
 
“What's the whole point of being pretty on the outside when you’re so ugly on the inside?”
 
Mi umu Ndani kuna MTU nna crush nae,..ila naogopa kukataliwa[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji27] [emoji27] [emoji21] [emoji21] [emoji22]
 
da hata wamjuwa yukoje au bas tu jiwe gizan
 
Back
Top Bottom