Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,327
- 8,142
Vizuri sanaWale mafundi wa humu JF hi gari itatengenezeka kweli ?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vizuri sanaWale mafundi wa humu JF hi gari itatengenezeka kweli ?!
Wewe umejuaje huyo ni mjinga wa IT?Wakuu, salamu zenu!
Juzi natoka zangu Dodoma, Mdogo mdogo narudi zangu Dar! Basi nafika zangu pale Msolwa, mshenzi mmoja asiye na staha barabarani, anajifanya ana haraka ana overtake kijinga jinga! Tumekutana uso kwa pua, Ashukuriwe Mungu baba kwa kunitoa salama! Ila huyu mjinga nitadili naye sana tu naahidi hili
View attachment 1740392
Zina namba IT....Wewe umejuaje huyo ni mjinga wa IT?
Hapo sawaZina namba IT....
Mahakamani kesi inakaa muda gani, na kipindi hicho unatumia usafiri gani na wakili wako analipwa na nani? Na nani anai tow gari kutoka njia panda Dodoma kuipeleka garage karibu na unakoishi ili uweze kuifuatilia kama BIMA wataamua kui fix?Jitahidi kesi iende mahakamani , bima yake italipa
hakuna cha ku relax hapoMungu wangu pole sana..kama una comprehensive relax
Nadhani huna uelewa na traffic casesMahakamani inakaa muda gani, unatumia usafiri gani na wakili analipwa na nani? Na nani anai tow gari kuyoja njia panda Dodoma huko kuipeleka karibu na unakoishi?
Ajali sio suala rahisi kama unavyomwambia eti arilaksi!
Police report yenyewe unaweza kuifuatulia mwezi mzima wanajidai polisi mhusika yuko msibani, wanataka rushwa.
Mmh nimefanya sana hizi kazi labda hiyo bima iwe NIC au ZIChakuna cha ku relax hapo
atachoma sana muda na stress za kutosha
ajiandae... mfumo mzima wa BIMA, polisi, mahakama is cutthroat!
Hukumu inatolewa polisi ?Nadhani huna uelewa na traffic cases
Huhitaji wakili na ni kesi zinazoamuliwa haraka kuliko kesi nyingine zozote
Towing charges hulipi siku hiyo na mara nyingi bima ndio hubeba huo mzigo
Kinachotakiwa ni nyaraka zifuatazo toka police
PF 90... Hii ni ya kutoa taarifa ya ajali na ukaguzi wa polisi
PF 91 ... Mchoro wa ajali pamoja na maelezo ya dereva
PF 115 ... Hii ni ya hukumu
Vingine ambavyo si vya polisi
Cover note na receipt
Leseni
Claim form
Quotation
Nknk
Traffic case nyingi hazimalizi mwezi
Huyo kesi yake ni nyepesi kwakuwa kafuatwa upande wake
Kuna kesi haziendi mahakamani...zinaishia police ila kwa PF 115 inatolewa mahakamani..... Lakini utaichukua police kwa traffic mwenye kesi yakoHukumu inatolewa polisi ?
kuna kesi haziendi mahakamani ? Wewe ndio umesema tuhakikishe kesi inaenda mahakamani. Sasa imekua tuyamalize polisi ?Kuna kesi haziendi mahakamani...zinaishia police ila kwa PF 115 inatolewa mahakamani..... Lakini utaichukua police kwa traffic mwenye kesi yako
Mkuu shukuru MUNGU sana kutoka salama kwenye ajari hiyo, hivi vyombo vinatafutwa tu......najua inauma mtu umejichanga umepata kausafiri...ila kwa hiyo ajari mshukuru sana MUNGU.......Wakuu, salamu zenu!
Juzi natoka zangu Dodoma, Mdogo mdogo narudi zangu Dar! Basi nafika zangu pale Msolwa, mshenzi mmoja asiye na staha barabarani, anajifanya ana haraka ana overtake kijinga jinga! Tumekutana uso kwa pua, Ashukuriwe Mungu baba kwa kunitoa salama! Ila huyu mjinga nitadili naye sana tu naahidi hili
View attachment 1740392
Nimesema kuna kesi haziendi mahakamani sijasema hiyoWewe
kuna kesi haziendi mahakamani ? Wewe ndio umesema tuhakikishe kesi inaenda mahakamani. Sasa imekua tuyamalize polisi ?
Halafu PF maana yake ni Police Form. Mahakama inatoaje Police Form?
Na kwa nini niko mahakamani halafu hukumu ya kesi yangu apewe polisi ????
Halafu kwa Tanzania hapa hayo ma fomu 10 kidogo huwezi kuyapata na ku replace-siwa gari lako ndani ya mwezi mmoja!
Na gharama za tow truck huwezi kuita break down halafu umwambie utalipwa kesi ikiisha! Hesabu ya siku anaipelekaje? Na wewe uliyemuita ukishindwa kesi inakuaje ?
Ongea uhalisia brother.
OkayNimesema kuna kesi haziendi mahakamani sijasema hiyo
Kwenye PF 115 ndio kunaambatanishwa na nakala ya hukumu
Kesi zisizoenda mahakamani ni zile ajali binafsi na zisizo na majeruhi au kifo.. Yaani mtu kagonga jiwe au mti nk hakuna madhara au uharibifu wa vitu vya wengine
Siku ya ajali huiti wewe breakdown zipo tu huko kwenye vituo vya polisi na maranyingi wanaoitisha ni madalali wao au traffic wenyeweOkay
kwa hiyo PF 115 siyo hukumu!
ulianza kwa kunichana kwamba sijui mambo ya BIMA na ajali
tuendelee mdogo mdogo
Nani analipa tow truck siku ya ajali ????
Okay sawaSiku ya ajali huiti wewe breakdown zipo tu huko kwenye vituo vya polisi na maranyingi wanaoitisha ni madalali wao au traffic wenyewe
Siku hiyo huwezi kudaiwa hata senti moja
Hukupanga upate ajali
Pengine umepoteza pesa, simu na card ya bank
Pengine umejeruhiwa na kuumia vibaya
Pengine umekufa
Si gari zote zinazopata ajali ziko na wamiliki wake, wengine ni ndugu ama ni madereva
Kwahiyo breakdown ana kazi ya kuondoa gari sehemu ya ajali na kuipeleka polisi na ana jukumu pia la kuilinda isiibiwe chochote
Vilevile si ajali zote tunapata tukiwa maeneo yetu
Siku utakapoanza kufuatilia polisi ndio utapewa gharama na kama bado huna hawana haraka pia