Mjini fm ni redio ya nani?naona inatishia uhai wa redio nyingi hapa jijini kwa sasa

Mjini fm ni redio ya nani?naona inatishia uhai wa redio nyingi hapa jijini kwa sasa

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
0E1A17BE-8AEF-4117-8F15-3B58F49F8FB7.jpeg

Hawa jamaa kwa sasa ni noma
Naona wanakasi nzuri naomba kujua mmiliki wake
 
Ww sikiliza basi mmiliki wa nini ? Kwan yeye ndiye mtangazaji ?
Kuna wakati huwa tunajifunza mambo toka kwa wengine..!! unakuta mtu unatamani kumiliki au kuwa karibu na kitu fulani, lakini utafanikiwaje ndo unakuwa hujui. Sasa kumjua mmiliki inawezekana ukapata kujifunza nini ufanye toka kwake ili ufanikishe unaloliwaza.
 
Ww sikiliza basi mmiliki wa nini ? Kwan yeye ndiye mtangazaji ?
Roho yako ya kimaskini imekui
Kuna wakati huwa tunajifunza mambo toka kwa wengine..!! unakuta mtu unatamani kumiliki au kuwa karibu na kitu fulani, lakini utafanikiwaje ndo unakuwa hujui. Sasa kumjua mmiliki inawezekana ukapata kujifunzi nini ufanye toka kwake ili ufanikishe unaloliwaza.
asanteee🤜🏻🤛🏻
 
Mmh huku Kijijini kwetu Kitefu mbona sijaisikia.Inasikika wapi na wapi?
 
Mimi naipenda sababu inagonga ngoma muda mrefu ila wakianza vipindi nawakimbia
 


Mbona Taarifa Ipo Kihuni Sana

Hiyo Radio Ipo Mkoa Gani, Inarusha Mawimbi Mpaka Wapi
Mnaongea Tunashindwa Kuwaelewa Imekuwa Kama Issue Ya Monica
92.5 dsm.

Jamaa wanagonga ngoma..safi sana.

Shida wakianza kuiga vipindi kama media nyingine za kibongo watazingua.

Tumechoka media nyingi kila sa4 hadi sa7 mchana ni taarabu..hakuna taarifa za habari zaidi ya vijiwe vya stori na mpiasho ya watangazaji...media nyingi za kibongo ni upotolo mtupu.

#MaendeleoHayanaChama
 


Mbona Taarifa Ipo Kihuni Sana

Hiyo Radio Ipo Mkoa Gani, Inarusha Mawimbi Mpaka Wapi
Mnaongea Tunashindwa Kuwaelewa Imekuwa Kama Issue Ya Monica
Hiyo station ipo Zanzibar, ndio maana inaitwa mjini, mjini ni jina rasmi la wilaya ya Zanzibar ambapo kuna mji mkongwe, wilaya ndio ipo katika mkoa wa mjini Magharibi, ambao una wilaya mbili, wilaya ya Magharibi na wilaya ya mjini
 
Back
Top Bottom