Mjini kumenoga; Harmonize kufanya interview Clouds Fm

size 96

Senior Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
128
Reaction score
152
Naona Kama Clouds wanaongeza mashambulizi zidi ya Mond baada ya Kiba Asley na Mario kushindwa wameamia kwa mmakonde tatizo la Clouds wanakusifia na kukupoteza Harmonize anakosea sana kwa anayo yafanya atapotea tu.

 
Mbona kama unahasira clouds hawafanyi kazi na Mond kwahyo msanii hasipokuwa mshirika wa mond kamtangaza ni sawa
 
Kelele mingi kinyama mwisho wa siku matapishi kama haya!!
 
Naona Kama Clouds wanaongeza mashambulizi zidi ya Mond baada ya KIba Asley na Mario kushindwa wameamia kwa mmakonde tatizo la Clouds wanakusifia na kukupoteza Harmonize anakosea sana kwa anayo yafanya atapotea tuView attachment 1242802
mashambuliz kwa mondi kivipi???

shida ilikuwepo baina ya management ya WCB na Clouds,EATV nk sasa Harmonaze hayuko tena chini ya management ya WCB ambayo inaugomvi na Clouds ndiyo maana anauwezo wa kushirikiana nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…