DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Kwahiyo Clouds watakuwa wanapiga nyimbo za harmonize alizoshirikiana na wasanii wa wasafi au wataendeleza utoto wa ku mute ?Mjini watu wanajua kutafuta hela..
Dah jamaa wanatu-set kimazingira watupige hela zetu