Mjini kuna mambo mambo Zari amdhihaki Hamisa

D akiumuacha H wanaume wenye afya zetu tutashangaa sana, ampe tena mtoto, uwezo anawo, tuendeleze dunia..Ka H kako safi sana aise...
Awaache wote tu maana ananishangaza na ustar wake yuko busy na walioshazalishwa kwanini asitafute ambao ataanza kuwazalisha mwenyewe yani hadi rayvanny kamzidi akili boss wake kazaa na mtoto mbichiii
 
Hamisa anataka undugu na watotonwa Zari kwa nguvu.. akaenda kuwafolo kupitia acc ya mwanae... ha ha haaaa

Watajijuuuuuuuuuu hao waswazi...

Zari wanyooshe tu.. eti prado eeeeeeh kweli mswazi hana akili.

Sema wewe my dear. Naona hapa watu wana mponda Zari mswahili sijui nini. Hamisa anavyong'ang'ana kuwa follow watoto wa Zari instagram ya nini? Mbona anatumia nguvu sanaa? Kwani lazima? Anataka umaarufu kwa mgongo wa akina Tiffa na Nillan ambao Mama yao ndio alikua brain behind their sponsorships. Muacheni Zari, awe mbibi awe nini, she still looks good and Mungu amempa watoto. Hamisa on the other hand, will soon learn her lesson.
 
Reactions: nao
Best Zari angekuwa na busara asingemgusa nyumba mdogo kwa sasa, mke anaegombana na mchepuko wa mumewe anahitaji msaada

Hajamgusa jamani, Hamisa amekazana kufollow watoto wake instagram na hizi account za watoto wake ni yeye ndio ana control na aliyezicreate. Sasa Hamisa ana washwa nini? si alee mtoto wake, watoto wa Zari wana muhusu nini sasa hivi? Ndio maana Dai alisema tabia ya Hamisa italeta bad blood between the children na Mama zao na yeye hataki hilo. Mbona watu mnamchukia Zari kiasi hiki?
 
Dai analea japo kwa hali tu watoto 3 ila wa Dai kasema hataki Dully afolowww hahah. Duli ukikanyaga kwa mganda unachinjwa live. Japo dai alimkuta na watoto hakupaswa kumsaliti.
 
Laki 2 za kwenyemedia akienda kulala kwa mtoto wake M.7 kwa mwezi
 
ooh am bosslady
i gt money moves
nmenunua gari mpya
laki2 stop following my team

bla blaaah....
huyu mama angefocus na wanae tu.. anatuchosha sasa mtu mzima akili kama za gigy[emoji23][emoji23].....

ndo mana kachapiwa ,amekosa hekima
Laki 2 yeye ana madolari si ya mmwagie sasa. Pesa pesa na penzi penzi anaumia aache kujidanganya. Dai aoe wote bahna ili wasigombane.

Mwanamke aliyesema sio level zake, cheap n. k kazaa na mumewe haya maisha hayana cha chura wala utamu akiamua anatoka tu
 
wakisema waolewe misa atafaidika sana, kwasababu yeye anaishi hapa.
zari hawezi kuishi madale hata sikumoja.

tatizo la bossfamous ana bla bla nyingi[emoji23][emoji23] ndo mana kagongewa
 
wakisema waolewe misa atafaidika sana, kwasababu yeye anaishi hapa.
zari hawezi kuishi madale hata sikumoja.

tatizo la bossfamous ana bla bla nyingi[emoji23][emoji23] ndo mana kagongewa

Zari akaze roho ndoa ya Video call kwa kijana mdogo yule ambaye papuchi haijamchosha ni kazi. Yaani aipate once per month!! Wale wanataka akae naye 5 years anaisugua tu
 
Hamissa anamcheka ty zari maana kuda mwingi yuko na Daimond hata siku ile katoka interview kaenda kulala kwa na hamisa,
Alizani anaweza ingia leba peke yake haloo
Hamissa kuachwa na daimond ni ndoto mtu anapelekwa hadi kitanda unacholala wewe ,,subiria twins wanakuja hata akija mmoja ndio ujue sasa wabongo sie ni balaa utaona kila rangi
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji6] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] loooohh!!zari kamblock diamond rasm IG
Nimeona picha za kihindii,kaja madale nin ahahah
 
Yani wanawake wengi wabongo wamejaa wivu , unafiki , roho mbaya ,umbea n'a uchonganishi this is the paining reality whether we like it or not. Mwanamke ni akili No wonder huwezi kumlinganisha Zari na Mobeto kama una akili timamu interms of brilliance in intellectual levels , creativity especially in business handling, branding and stuffs like that ,she runs one of the big business venture (company) which controlls Brooklyn city colleges in several states in South Africa as a CEO the position which was formerly held by her late husband Don Ivan SSemwanga. she has contributed to huge extent to mentor, beanding and making Platnumz to look as he looks today Diamond Platnumz ni the business brand kwa sasa so try to think leo anampa mswahili wa Mburahati majukumu hayo . Putting aside her weaknesses Zari is kind brilliant women that you can rarely see in our country Tanzania wengi ni upuuz na majungu tu
 
CEO mwenyewe amejilinganisha na laki mbili ndiyo tunaposhangaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…