Mjini kuna mambo mambo Zari amdhihaki Hamisa

Mjini kuna mambo mambo Zari amdhihaki Hamisa

Haya mambo ya ukewenza kwa kweli hapana hata kama tuko mia mradi hatujuani bora hivi uswahili huuu [emoji135] [emoji135] [emoji135]
 
Unashabikia matatizo ya mwenzako ndio maana huwezi fanikiwa kutwa kuomba jamii forum ...

Pambana na hali yako Zari sio mwenzenu anatembelea BMW la maana
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mwenye kugawa riziki ni Mungu tu halafu unaweza ukawa umefanikiwa ila maisha kuna kupanda nakushuka hata angekuwa chooni akienda anaenda Na ndege sawa maisha yake ila ni hamna kitu kama kutokuwa Na amani tambua nibora kuwa huna chochote ila uwe Na amani kuwa Na amani ni utajiri tosha
 
Na ukitaka kuamini kuwa zari anakesha mitandaoni nenda kwa fan page zake alafu ukoment upupu, zen rudi kwny acc yake og utakuta kakublock
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mi pia kaniblock nilicoment upupu kwa team zake
 
Diamond hana unafuu wanawake wote anakamata wazinzi tu tena waliozalishwa na wenzie ma jay akiomba mech kwa hamisa anapiga kule zari ilikuwa roho juu kabla jamaa hajafa ni matatizo tu
 
Diamond hana unafuu wanawake wote anakamata wazinzi tu tena waliozalishwa na wenzie ma jay akiomba mech kwa hamisa anapiga kule zari ilikuwa roho juu kabla jamaa hajafa ni matatizo tu
Sijui naye kwa nn anashindwa kuanzisha mgodi wake mwenyewe inaonekana anapnda sana papuchi zilizo pitisha vichwa kadhaa vya watt
 
Kwelii.Inauma aisee.I feel for Zari.Hii itamuuma maisha hata km ataamua kuendelea na Diamond.Mbaya zaidi mchepuko una guts hadi mtu huelewi anazitoa wapi.Seems kuna force behind this. All in all sifurahii alichofanyiwa Zari.Its the worst experience a woman can go through! Maisha haya!!
Wakwe hao na mawif ndo wanaompa jeuri aisee na mond nae kama ameshikiwa akili na mamake na dada zake mwanaume gani huna msimamo ktk uhusiano wako
 
Sijui naye kwa nn anashindwa kuanzisha mgodi wake mwenyewe inaonekana anapnda sana papuchi zilizo pitisha vichwa kadhaa vya watt

Anapenda kuwaonea single mother's huyu halafu wanawake wanatifuana wenyewe kwa wenyewe kwa kumsifia diamond badala ya kuangalia chain ya kajamaa kamewachafua sana na kanawamaliza wote wanawake akili zao ni shida sana angekuwa muoaji angetulia na kina peni lakin yeeeeee mola wolper mara jokate hakufaa kuungwa mkono huyu ni kioo cha jamii
 
Hivi uwa mnasahau kuwa wema ndiye alimuacha mond, yeye mwenyewe tena wapambe mkafurahi baada ya kampeni ya bring back our wema.
Mond nadhani akaona mtu pekee ambaye akiwa naye atamuumiza wema na team yake ni kuwa na mtu atakayeonekana yuko juu zaidi ndipo akaja na zari.
Mara team wema mkabadirika na kuanza kumshambulua zari over kaiba mume wa mtu.
timu wema huwa wanafurahisha sana wamesahau wakivyoshangili mondi kuachwa na wema ila walipoona kampata bi zari kibao kikageuka wameibiwa lol hahahaha.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Wakwe hao na mawif ndo wanaompa jeuri aisee na mond nae kama ameshikiwa akili na mamake na dada zake mwanaume gani huna msimamo ktk uhusiano wako
sasa ndo nimeamini yale maneno ya mitandaoni kuwa mawifi na mama mkwe wako upande wa Hamisa.I thot walikua wanazusha.Ila jaman acheni tuu,mi nilidhani all along ni uzushi.Kumbe yote yaliyosemwa ni kweli.Zari hata km anajifariji bank account ipo intact she will never be the same.Diamond kaharibu sana!
 
Mbona pia alishavua pete siku hiyo hiyo aliyomwaga porojo juu yake na hakisa kizaidi.. ila lile gauni la blue eeeeh.. ndoa ile.
Tangu siku ile ya shughuli ilikuwa rahisi kuunga nukta. Zari kamsaidia kujengeka kuwa alipo leo.. from ofisi etc ilo halina ubishiiiiiiiii
Huyo Hamisa hata awe na Diamond.. D anajua atapwayaaaaaa haraka sana.. utamu sio issue.. mama na esma ndio washika uskani pia tangu zamani walitaka mzalendo.. hata single gal hawakumuona aolewe fresh...
Inachoma aisee mwanaume unaumiza na kichwa mwisho wa ck anafanya kama hayo tena room kwako jmn na ofc mlotengeneza wt napo anaingiza mchepuko loh hela mnafight wt anaenda kununulia mchepuko gari jmn
 
Anapenda kuwaonea single mother's huyu halafu wanawake wanatifuana wenyewe kwa wenyewe kwa kumsifia diamond badala ya kuangalia chain ya kajamaa kamewachafua sana na kanawamaliza wote wanawake akili zao ni shida sana angekuwa muoji angetulia na kina peni lakin yeeeeee mola wilper mara jokate hakufaa kuungwa mkono huyu ni kioo cha jamii
Yani huyo zari ajipange tu na maisha mengine baada ya mondi.kwa kumbukumbu za halaka hata peny alipakwa mafuta kwa mgongo was chupa hivihivi wakati mondi anarudi kwa wema na sauti ya wema ikarekodiwa eti anambembeleza mondi.peny akipokuja kujua ukweli kashachelewa .
 
Inachoma aisee mwanaume unaumiza na kichwa mwisho wa ck anafanya kama hayo tena room kwako jmn na ofc mlotengeneza wt napo anaingiza mchepuko loh hela mnafight wt anaenda kununulia mchepuko gari jmn
Hapo ndo alipoharibu zaidi kuingiza mchepuko katika chumba chao,hana adabu kabisa huyu.
 
Back
Top Bottom