Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Hosee na wewe ni superstar wa jf unapata tabu gani!?Maisha ya usupastaa ni tabu kweli...
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mwenye kugawa riziki ni Mungu tu halafu unaweza ukawa umefanikiwa ila maisha kuna kupanda nakushuka hata angekuwa chooni akienda anaenda Na ndege sawa maisha yake ila ni hamna kitu kama kutokuwa Na amani tambua nibora kuwa huna chochote ila uwe Na amani kuwa Na amani ni utajiri toshaUnashabikia matatizo ya mwenzako ndio maana huwezi fanikiwa kutwa kuomba jamii forum ...
Pambana na hali yako Zari sio mwenzenu anatembelea BMW la maana
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mi pia kaniblock nilicoment upupu kwa team zakeNa ukitaka kuamini kuwa zari anakesha mitandaoni nenda kwa fan page zake alafu ukoment upupu, zen rudi kwny acc yake og utakuta kakublock
Daaah[emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji56]Mkuu Hosee na wewe ni superstar wa jf unapata tabu gani!?
Sijui naye kwa nn anashindwa kuanzisha mgodi wake mwenyewe inaonekana anapnda sana papuchi zilizo pitisha vichwa kadhaa vya wattDiamond hana unafuu wanawake wote anakamata wazinzi tu tena waliozalishwa na wenzie ma jay akiomba mech kwa hamisa anapiga kule zari ilikuwa roho juu kabla jamaa hajafa ni matatizo tu
Kwani nani alianza kumchokonoa mwenzie ??Nahisi ile ishu ya kuitwa mgumba na vitu ka izo.
Apo sikumbuki vzuri.....labda ww ndo unikumbusheKwani nani alianza kumchokonoa mwenzie ??
Wakwe hao na mawif ndo wanaompa jeuri aisee na mond nae kama ameshikiwa akili na mamake na dada zake mwanaume gani huna msimamo ktk uhusiano wakoKwelii.Inauma aisee.I feel for Zari.Hii itamuuma maisha hata km ataamua kuendelea na Diamond.Mbaya zaidi mchepuko una guts hadi mtu huelewi anazitoa wapi.Seems kuna force behind this. All in all sifurahii alichofanyiwa Zari.Its the worst experience a woman can go through! Maisha haya!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kweli ye angedili na mume tu full stop na si hamisaBest Zari angekuwa na busara asingemgusa nyumba mdogo kwa sasa, mke anaegombana na mchepuko wa mumewe anahitaji msaada
Mi hata sielewi ndio maana nina uliza uliza fuApo sikumbuki vzuri.....labda ww ndo unikumbushe
Sijui naye kwa nn anashindwa kuanzisha mgodi wake mwenyewe inaonekana anapnda sana papuchi zilizo pitisha vichwa kadhaa vya watt
timu wema huwa wanafurahisha sana wamesahau wakivyoshangili mondi kuachwa na wema ila walipoona kampata bi zari kibao kikageuka wameibiwa lol hahahaha.Hivi uwa mnasahau kuwa wema ndiye alimuacha mond, yeye mwenyewe tena wapambe mkafurahi baada ya kampeni ya bring back our wema.
Mond nadhani akaona mtu pekee ambaye akiwa naye atamuumiza wema na team yake ni kuwa na mtu atakayeonekana yuko juu zaidi ndipo akaja na zari.
Mara team wema mkabadirika na kuanza kumshambulua zari over kaiba mume wa mtu.
sasa ndo nimeamini yale maneno ya mitandaoni kuwa mawifi na mama mkwe wako upande wa Hamisa.I thot walikua wanazusha.Ila jaman acheni tuu,mi nilidhani all along ni uzushi.Kumbe yote yaliyosemwa ni kweli.Zari hata km anajifariji bank account ipo intact she will never be the same.Diamond kaharibu sana!Wakwe hao na mawif ndo wanaompa jeuri aisee na mond nae kama ameshikiwa akili na mamake na dada zake mwanaume gani huna msimamo ktk uhusiano wako
Inachoma aisee mwanaume unaumiza na kichwa mwisho wa ck anafanya kama hayo tena room kwako jmn na ofc mlotengeneza wt napo anaingiza mchepuko loh hela mnafight wt anaenda kununulia mchepuko gari jmnMbona pia alishavua pete siku hiyo hiyo aliyomwaga porojo juu yake na hakisa kizaidi.. ila lile gauni la blue eeeeh.. ndoa ile.
Tangu siku ile ya shughuli ilikuwa rahisi kuunga nukta. Zari kamsaidia kujengeka kuwa alipo leo.. from ofisi etc ilo halina ubishiiiiiiiii
Huyo Hamisa hata awe na Diamond.. D anajua atapwayaaaaaa haraka sana.. utamu sio issue.. mama na esma ndio washika uskani pia tangu zamani walitaka mzalendo.. hata single gal hawakumuona aolewe fresh...
Yani huyo zari ajipange tu na maisha mengine baada ya mondi.kwa kumbukumbu za halaka hata peny alipakwa mafuta kwa mgongo was chupa hivihivi wakati mondi anarudi kwa wema na sauti ya wema ikarekodiwa eti anambembeleza mondi.peny akipokuja kujua ukweli kashachelewa .Anapenda kuwaonea single mother's huyu halafu wanawake wanatifuana wenyewe kwa wenyewe kwa kumsifia diamond badala ya kuangalia chain ya kajamaa kamewachafua sana na kanawamaliza wote wanawake akili zao ni shida sana angekuwa muoji angetulia na kina peni lakin yeeeeee mola wilper mara jokate hakufaa kuungwa mkono huyu ni kioo cha jamii
Hapo ndo alipoharibu zaidi kuingiza mchepuko katika chumba chao,hana adabu kabisa huyu.Inachoma aisee mwanaume unaumiza na kichwa mwisho wa ck anafanya kama hayo tena room kwako jmn na ofc mlotengeneza wt napo anaingiza mchepuko loh hela mnafight wt anaenda kununulia mchepuko gari jmn