Mjini kuna mambo mambo Zari amdhihaki Hamisa

Mjini kuna mambo mambo Zari amdhihaki Hamisa

Mie namuona mtu poa huyu ila usimparue au kuingia kwenye anga zake. Best ungekuwa wewe limekutokea hili baada ya minong'ong'ono ya muda mrefu ungekaa kimya!? Ila wote hawa bado wanapendana kwa sasa naona pamoja na kuwa penzi limetikisika wataendelea kuwa pamoja lakini ikitokea tena hakutakuwa na msalie mtume.

Huyu Zari angezaliwa huku kwetu Kwamtogole sipati picha anaonekana ni mchokonoko sana
 
Mie namuona mtu poa huyu ila usimparue au kuingia kwenye anga zake. Best ungekuwa wewe limekutokea hili baada ya minong'ong'ono ya muda mrefu ungekaa kimya!? Ila wote hawa bado wanapendana kwa sasa naona pamoja na kuwa penzi limetikisika wataendelea kuwa pamoja lakini ikitokea tena hakutakuwa na msalie mtume.
Best Zari angekuwa na busara asingemgusa nyumba mdogo kwa sasa, mke anaegombana na mchepuko wa mumewe anahitaji msaada
 
Ndo tatizo lake yy anahis money is everything's while not anaumia mnoo anajipa tu moyo amrudie tu diamond maana atapagawa

Anahitaji psychological treatment haraka sana
I doubt kama boss ladies ndo wako ivo[emoji43]
Bas sawaaa
 
Mama watano akili zake ziko matakoni mwake, mwanaume katia dem kwny kitanda chako na mimba juu zaidi Bado na bwana akawa anaenda kulea kitumbo Hlf Bado unajipa moyo unapendwa kwa hiki kisanga diamond anampenda hamisa sema anamuogopa zari na si kwmb anampenda kivile, hlafu misa inaelekea kwa kitanda yuko good itabidi nimchek anipe mautundu

Mbona pia alishavua pete siku hiyo hiyo aliyomwaga porojo juu yake na hakisa kizaidi.. ila lile gauni la blue eeeeh.. ndoa ile.
Tangu siku ile ya shughuli ilikuwa rahisi kuunga nukta. Zari kamsaidia kujengeka kuwa alipo leo.. from ofisi etc ilo halina ubishiiiiiiiii
Huyo Hamisa hata awe na Diamond.. D anajua atapwayaaaaaa haraka sana.. utamu sio issue.. mama na esma ndio washika uskani pia tangu zamani walitaka mzalendo.. hata single gal hawakumuona aolewe fresh...
 
Kwelii.Inauma aisee.I feel for Zari.Hii itamuuma maisha hata km ataamua kuendelea na Diamond.Mbaya zaidi mchepuko una guts hadi mtu huelewi anazitoa wapi.Seems kuna force behind this. All in all sifurahii alichofanyiwa Zari.Its the worst experience a woman can go through! Maisha haya!!
Malipo ni hapa hapa wanawake tunajisahau sana zari alimtesa sana wema alimkashifu sana wema akaona kisa anapesa atamkamata diamond hakujua mwanaume nikama fagio [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] I swear am happy for this siku zote kunya anye kuku akinya bata kaharisha pia huyo mobeto yaonyesha kitandani yupo vizuri zari kitandani bado [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] but ajue mwanaume ni mwanaume usimthamini mwanaume siku yoyote anakubwaga
 
Mie namuona mtu poa huyu ila usimparue au kuingia kwenye anga zake. Best ungekuwa wewe limekutokea hili baada ya minong'ong'ono ya muda mrefu ungekaa kimya!? Ila wote hawa bado wanapendana kwa sasa naona pamoja na kuwa penzi limetikisika wataendelea kuwa pamoja lakini ikitokea tena hakutakuwa na msalie mtume.
Usaliti unauma asikwambie mtu sasa pia ajiulize amesahau aliomtendea wema malipo ni hapa hapa
 
Nachoamini Mimi Diamond hata amrudie zari sio kuwa unampenda no ni kwaajili ya pesa ndio maana siku zote nasema mapenzi ya dhati hayajengwi kwapesa kama yanajengwa kwapesa diamond angetulia hakuna alichokosa
 
Wanawake wanakuwa wabaya sana hasa pale wanapokuwa wanajiproud....Thats why i love them and i hate them at the same time.
 
Kabisa DG! Watu wanafikia hadi kuua kwa kutendwa. Omba Mungu hili janga lisikukute.
Mara ngapi my nishatendwa nishaumia ndio maana mtu akilalamika kusalitiwa najua maumivu anayopitia ila uyo acha ayapate
 
Wanawake wanakuwa wabaya sana hasa pale wanapokuwa wanajiproud....Thats why i love them and i hate them at the same time.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] watu wanashindwa kutofautisha kati ya mapenzi Na pesa yaani nishidahhh
 
Malipo ni hapa hapa wanawake tunajisahau sana zari alimtesa sana wema alimkashifu sana wema akaona kisa anapesa atamkamata diamond hakujua mwanaume nikama fagio [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] I swear am happy for this siku zote kunya anye kuku akinya bata kaharisha pia huyo mobeto yaonyesha kitandani yupo vizuri zari kitandani bado [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] but ajue mwanaume ni mwanaume usimthamini mwanaume siku yoyote anakubwaga
Kwani wema alifanyiwa nini ???
 
Back
Top Bottom