Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka Mjini Magharibi, Zanzibar, Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa Mjini Magharibi una jumla ya majimbo ya uchaguzi (17) ambayo ni:

- Malindi - Muhsin Ussi (CCM)
- Shaurimoyo - Mattar Ali Salum (CCM)
- Chumbuni - Ussi Salum Pondeza (CCM)
- Amani - Masoud Amour Masoud (CCM)
- Magomeni - Mahfudh Abdallah Mohammed (CCM)
- Mpendae - Shaban Ali Othman (CCM)
- Jang'ombe
- Kwahani - Mohammed Abdallah Makame (CCM)
- Bububu - Mudrik Ramadhan Soraga (CCM)
- Mwera - Mihayo Juma Nhuga (CCM)
- Welezo - Hassan Khamis Hafidh (CCM)
- Mtoni - Hussein Ibrahim Makangu (CCM)
- Mwanakwerekwe - Kassim Hassan Haji (CCM)
- Pangawe - Haji Amour Haji (CCM)
- Fuoni -
- Dimani - Ahmed Abdallah Nabil (CCM)
- Kiembe Samaki - Ali Khalil Mirza (CCM)