GE2025 Mjini Magharibi: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Wakuu,

Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka Mjini Magharibi, Zanzibar, Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.

Mkoa wa Mjini Magharibi una jumla ya majimbo ya uchaguzi (17) ambayo ni:

  1. Malindi - Muhsin Ussi (CCM)
  2. Shaurimoyo - Mattar Ali Salum (CCM)
  3. Chumbuni - Ussi Salum Pondeza (CCM)
  4. Amani - Masoud Amour Masoud (CCM)
  5. Magomeni - Mahfudh Abdallah Mohammed (CCM)
  6. Mpendae - Shaban Ali Othman (CCM)
  7. Jang'ombe
  8. Kwahani - Mohammed Abdallah Makame (CCM)
  9. Bububu - Mudrik Ramadhan Soraga (CCM)
  10. Mwera - Mihayo Juma Nhuga (CCM)
  11. Welezo - Hassan Khamis Hafidh (CCM)
  12. Mtoni - Hussein Ibrahim Makangu (CCM)
  13. Mwanakwerekwe - Kassim Hassan Haji (CCM)
  14. Pangawe - Haji Amour Haji (CCM)
  15. Fuoni -
  16. Dimani - Ahmed Abdallah Nabil (CCM)
  17. Kiembe Samaki - Ali Khalil Mirza (CCM)
Kupata matukio ya nyuma kabla ya siku ya Uchaguzi soma > Mjini Magharibi: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Mkuu 2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…